Mume wa mwimbaji Injili adaiwa kumbaka shemejiye

Jamani! Kwani Mchungaji wa watu Gwajima anaingiaje tena hapo??? naona kama mnaleta habari mpya tena...
 
bnadamu kazi kwelikweli lakini katika hizo plan zote naona hawakuona mbali..... Aisee yani ndo wameharibu tu at least wangempa huyo mr.mbasha hela afunge mdomo
hizi dini hizi ! Hawa wanajiita walokole ni watu hatari sana ,inakuwaje mtu anaibuka from no where ni tajiri wa nguvu ....!eti anaendesha kanisa ! Mimi nitabaki huku kwetu kkkt ,angalau kuna taasisi na uanaona mabo yanaenda hata kama si 100% ,mungu awalaani wachungaji ,mitume wanaodanganya watu
 

Wewe nadhani umekaribia kuitwa mbinguni.. Haya jiandae wiki Lako limebakia moja tuu.. Sijui utasema Nini huko Juu Na UONGO HUU..
 
Huyo Mbasha ni mbakaji tu, kama hakutenda kosa hilo kwanini alikimbia?? Mvua 30 zinamhusu tu...

ndg usiwe mwepesi kuhukumu hvyo, dunia haiko kama unavyofkir laiti ukwel wa dunia hii kila mtu angeuoneshwa kusngekalika,take time kujirdhsha.
 
Tumepokea taarifa mkuu, tutaifanyia kazi. Wanaopinga tu waje wapinge na hii kwa kuleta ushahidi wao...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…