Nimeshtushwa leo kwenye vyombo vya habari eti Gwajima naye alikuwa msuluhishi kwenye sakata la Flora na Mbasha. Hivi inaingia akilini kweli mtu unamtuhumu kutembea na mkeo then ndo anawasuluhisha! Mmekosa watumishi waadilifu wenye hofu ya Mungu. Hapo Mbasha na familia mmechemsha........kesi ilishaongelewa pembeni kuhakikisha Gwajima anajifanya mwema kusuluhisha huku mipango ikiwa imeshasukwa akatae kurudi kwenye ndoa.
Hivyo ndoa itavunjika, Gwajima atakuwa ameshajisafisha kiaina. Mbasha anabakia kumlilia mke wake. .........wajanja wanaendelea na mipango yao waliyokwisha kuset. Acheni ulimbukeni tafuteni watu wenye hofu ya Mungu awasaidie! Flora utajutia hiyo ndoa unayovunja.