Mume wa mwimbaji Injili adaiwa kumbaka shemejiye

Wewe nadhani umekaribia kuitwa mbinguni.. Haya jiandae wiki Lako limebakia moja tuu.. Sijui utasema Nini huko Juu Na UONGO HUU..

Nahisi wewe upo kwenye kitengo cha MEDIA ministries we si ulileta story hapa inayohusu hii issue
 
Mwanamke ni mtu hatari sana..Tunaishi kwa mazoea tu..Na Ajili ya kupata watoto lakini siyo kabisa..

Tangu Enzi za Adam..

Hata wao kwa wao hawapendani..

Hii kitu Mbasha Amesingiziwa..
 

Kosa la mtu mmoja ndo linakuwa la watu wote? Je huko Lutheri wote watakatifu? Jaribu kufikiria mbali kabla ya kuandika vitu visivyo na mantiki hata kidogo. Kwa hiyo wewe hii stori ndo umeona ukweli wote; na kesho ikija nyingine utaiamini tu.
 
Kwan Gwajima ana tatizo gani. Huyu Mbasha kayataka mwenyewe. Amelikoroga, asubir kulinywa..!!!
 
Now time you can't separate Religion and Money............ Religion is the Business......Money is Output..........hakuna pastor wala preacher hizo ministry hanayefanya Kazi ya Mungu kutoka moyoni
 
ukifanya mapenzi na binti mwenye umri wa chini ya miaka kumi na nane it amount to rape no matter what provided under
SEXUAL OFFENCE SPECIAL PROVISION ACT
Rape 130.-(l) It is an offence for a male person to rape a girl or a
(2). A male person commits the offence of, rape if he has sexual intercourse with a girl or woman under circumstances falling, under any of the following' descriptions:
(a) not, being his wife, or being his wife who is separated from him Without her consenting to it at the time of the sexual intercourse;
(b). with .her consent where, the consent has been –obtained by the, use of force threats or intimidation or by putting her in. fear. Of death or of hurt while she is in unlawful detention;
(c) with her consent when her consent has bee I at a time 'when she was of unsound state of intoxication induced by any drugs, matter or thing, administered to her by the, man or by some
I other person unless proved that there was prior consent between the two;
(d) with her consent when the. man knows that be, is. Not her husband, and that her consent is given. Because she has been made to believe that he is another man to whom, she is, or believes herself to be, lawful married;
(e) with or without her consent when she is under eighteen years of age, unless the woman is his wife who is fifteen or more years of age and is not separated from the man.
 
Huyu mkewe Flora anaibu kijeuri sana!!! Ila kama wametengeneza hii kesi basi aue amejiharibia maisha yake maana laana yake ni kubwa. Ila sasa ngoja kesi ianze ila sijaua masula ya DNA kuthibitisha zile sperm. Wakuu maombi, ndoa ni hatari shetani anazisulubu sana. Sasa imagine hawa waimbaji tunaona ni walokole lakini ndoa zao zinawaka moto.
 
Uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiii ngachokaaaaaaaaaaaaaaa!!!!apa ni ngoma droooooooooo...

Hakuna mwenye afadhali kumbe.

Jizaz kraisti plizi kam back...ngiterewa
 

Wewe unamwamini mungu wala sio Mungu, na uliyoyaandiki yanaendana kabisa na matakwa ya mungu wako. Lakini pamoja na yote kumbuka wokovu upo na ni halisi na lazima kuokoka hapa duniani bila kujali mchungaji au mlokole fulani kafanya jambo kinyume na wokovu.
 

vipimo ambavyo vilifanywa na daktari kung’amua kama binti huyo
aliingiliwa vinaonyesha kuwa kulikuwa na mbegu utokaji wa mbegu usio wa
kawaida (HVD).

Hapa pana mambo makubwa yamejificha. Hata kama Mbasha kafanya, akimpata wakili mzuri anashinda kirahisi mno.

High vaginal discharge (HDV) si lazima iwe ni spermatozoa. Yaweza kuwa anamagonjwa mengine ya sehemu hizo. Kifupi ni dokeze hilo tu.

Ila huu ni mchezo wa mtu kijumilikisha mke wa mtu bila bugudha. Jamaa huenda alisema atamlipua huyo mzee wa hammer, naye kaamua kufanya kweli kabla ya kulipuliwa.
 
hata dhahabu isipopita kwenye moto haiwi safi......................

kwa uzoefu wangu hii ni njia tu ya kuwapitisha ili wajue kwamba kuna kias cha utukufu ambacho kma binadamu wamepungukiwa.

bado ni vijana wayamalize mbona maisha bado yapo?
 
binafsi ss naanza kuaminim kwamba sote tu watenda dhambi na tumepungukiwa na utukufu wa Mungu

Ndivyo ilivyo na tunatakiwa kutubu kila wakati dada. Lakini pia dhambi tunazitenga na kuona kama dhambi fulani ndo dhambi kuliko nyingine, mfano uongo kila mtu anasema uongo na hashutuki kabisa lakini kwenye uzinzi ndo kila mtu anashutuka wakati maandiko yanasema wataoenda motoni ni pamoja na waongo, wasengenyaji nk.
 
[h=2]Chini ya kapeti juu ya kubaka kwa MBASHA[/h]
Story inaendelea kma ifuatavyoMoses Kulola ni mchungaji wa kwanza wa kilokole Tanzania
Iko hivi wakuu..
1. Kisa cha mbasha “kubaka" (Sitatoa kila detail ili kulinda identity
yangu)

Kabla sijaanza kueleza kisa hiki ni vizuri niwaeleze kidogo kuhusu
Intellijensia ya Gwajima jinsi ilivyo...

pale kanisani kwake wanavitengo mbali mbali amabvyo wenyewe
wanaviita ‘ministries' na katika ministry hizo zipo mbili ambazo ni
muhimu zaidi i) Media ministry ii)

Security ministry (hii huwa wanaiita ‘mashujaa' wa Daudi)...

Media - Ministry kazi yake ni kulitangaza kanisa mitaani na
kwenye vyombo vya habari, kueneza
‘propaganda' ya kanisa na mambo mengine yanayofanana na hayo.

Security Ministry - kazi yao ni kumlinda Gwajima.! Kama umewahi kufika pale kanisani utakuwa
umewahi kuwaona huwa wanavaa suti nyeusi na miwani nyeusi (kama secret service wa marekani).. wale jamaa usiwachukulie poa, majamaa wale ni wanajeshi na polisi wastaafu na wengine bado wapo kazini..

Sasa huduma hizi mbili zinaunda kitu kama “USALAMA WA TAIFA"
wa kanisa la Gwajima..

Turudi kwenye topic sasa....

Ni ukweli ambao ulikuja kubainika hivi karibuni kuwa Mr. Mbasha ana
mahusiano ya kimapenzi na shemeji
yake (kwa muda mrefu kidogo) na habari hii ikamfikia mpaka florah..
kipindi hiki florah bado anakaa hoteli! Suala hili florah aliwaeleza watu wachache sana wa karibu na likabakia kuwa siri.. lakini sisi wengine tikuwa tunalifahamu muda mrefu tu!

Kuna watu wakamshauri florah amuhoji mmewake na florah akauchukua huo ushauri akaenda
kumuhoji Mr.

Unaambiwa jamaa
aling'aka balaa na akakataa kata kata kuwa hana mahusiano na
shemejiye! Basi katika majibizano mara jamaa akaropoka kuwa mbona
hata yeye anafahamu kuwa florah ana mahusiano na Gwa**** lakini hasemi chochote!

Weeeeee ilikuwa balaa maana hicho kilikuwa kijikikao fulani hivi na ndugu kadhaa walikuwepo basi kila mtu akashikwa na bumbuwazi!!!

Unaambiwa flaorah
hakusema chochote akaanza kulia akainuka akaondoka!! Na baada ya hapo hata simu za mbasha akawa hapokei...


Inasemekana taarifa zikamfikia mchungaji wao Gwajima, basi Gwajima akamuita ofisini jamaa akakataa kwenda! Sasa katika hizo purukushani za kuwasuluhisha jamaa kuna siku akatishia kuwa atavujisha ushahidi wa mahusiano ya huyo mchungaji na mkewe florah!! Nahisi hapo ndipo alipojiroga..

KESI YA KUBAKA
baada ya mrafaruku kutokea jamaa akawa dizaini kama amesitisha mahusiano na shemejiye na hapa kati alikuwa hakai nyumbni kwa florah.. lakini inavyoonekana mchungaji alitishwa sana na mkwara wa jamaa kuwa atavujisha ushahidi wa mahusiano yake na mkewe... binafsi nahisi mipango ikaanza kusukwa na binti akasetiwa kwa ajili ya ‘operation tokomeza'!!

Juzi juzi hapa kabla ya tukio kutokea ndio huyu binti amerudi kwa florah akijua wazi kabisa dada take hayupo! Na kama ujuavyo muonja asali aonji Mara moja, jamaa kuona mzigo umerudi basi ikabidi wakumbushie enzi!

Sitaki kumaliza huondo wote lakini tujiulize maswali haya!!!

1. Hivi kubaka ndio inakuwa hivi?

Ni ijumaa mko nyumbani peke mnamaliza kula mchana mnakaa sebuleni mnapiga stori ‘mizuka inapanda mnaamua kuibanjua amri ya sita! Kesho yake jumamosi anakuja mgeni mnakuwa wapole tu, mnavunga mnaitana shemeji! Alafu kesho kesho yake jpili mnatengeneza mazingira ili muondoke peke yenu wawili!

Mnafika mahali fulani ubungo mnapaki gari mafichoni mnaanza kuibanjua amri ya sita! Mnatoka hapo mnaenda kanisani mnatabasamu kabisa ibada ikiisha mnatengeneza tena mazingira ili muondoke peke yenu! Mnafika kisehemu chenu mnapaki tena gari mnabanjuka! Halafu eti
amebakwa???????

Swali la pili la kilujiuliza!
Kwanini huyu binti baada ya tukio kutokea akawapigia simu bodyguards wa Gwajima ambao walienda kumchukua na kurudi nae nyumbani kwa gwajima??? Alafu eti hawa bodyguards ndio wanaanza kuwapa taarifa ndugu za florah!!

Kwanini apige simu kule??

Kwanini hakuwapigia simu ndugu zake kwanza?????,anapotezwa huyu!

Nimesend kama nilivyo receive

CC. Jephta2003
 
Kuna member mmoja anaitwa TAMKO alikuja na uzi wa kukanusha kuhusu huu mgogoro,sasa akisoma hii habari sijui atasemaje.

anaona aibu sana, eti walikuwa wote kanisani, mbona wenyendoa yao wanatafutana kwa cm jamaa hili linalojiita tamko limeumbuka
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…