Mume wa mwimbaji Injili adaiwa kumbaka shemejiye

mume wa ujana wangu Asprin kam this way, nina utamu wako wa muda tu, nimekuhifadhia!
cacico unajua usinge jitokeza leo ninge andaa story kuelezea jinsi ulivyo tekwa na Alshabab....

Miss you sana.
 
Last edited by a moderator:
Nikimbilie wapi, wapi nikayafiche maisha yangu.
kwani duniani ndio nikoumbwa kuishi nimchekee nani nani nimnunie shida zangu?

Rafiki asubuhi jioni ndio adui yangu..
 
Hii movie n ndefu kuliko ya wema na diamond
 
Polisi si ndio njia ya kuendea magereza na ndiko walikotega mitego yao. Au kimjini tunasema "gusa unase" jamaa akigusa tu polisi imekula kwake hela ya Sembe ya Gwajima inaongea

Aisee nimecheka sana. Hii kweli nimeipenda. Kuna neno hapo. Anasema amemsamehe ila aende tu polisi fika akijua kama akitiwa hatiani, mvua za babu seya zinamuhusu. Kuna upendo na kusameheana hapo?
 

Aisee, biblia inasema mwanamke -------- huivunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe, kama uliyoyaandika hapo juu ni kweli basi Flora ni --------
 
Huyu jamaa si ana shughuli zinazomweka mjini, polisi wanashindwa vipi kumkamata hapo anapoingizia ridhiki yake ya kila siku, au na yeye ofisi yake ni simu
 
Ila kwa inchi yenyewe hii iliyokosa haki na kutanguliza hela mbele.... Ni bora huyu Mbasha aendelee kujificha tu nahisi kwa hii movie watu wenye pesa zao wamedhamiria kumpoteza kabisa......
 
PENDEKEZO: Huyu team ngwajima anayejiita TAMKO napendekeza tuondoe herufi M kwenye jina lake na herufi zitakazo baki ndio jina lake.
 
Last edited by a moderator:
Mr. Bold uko wapi, kule Celebrites wamefunga huku hujamalizia story, au ndo wameshakunyonga? Njoo mkuu hapa...
 
Mambo ya ndoa hayo, naona walikuwa wanatafuta kick, sijui ndo album yao mpya wanaipa promo au vip
 
Hii ni habari ya kusikitisha sana. Mwenyezi Mungu hawezi kukubali jamaa asiadhibiwe. Atakuwa nyeti yake inakauka na kubakia kazi ya kupitisha haja ndogo tu! 😛hoto:
 
Swali nnalojiuliza.hili ni jambo la aibu mno kwa wanandoa wowote achilia mbali hawa wanaojipambanua km walokole.inakuwaje flora anacooperate kihivyo na vyombo vya habari na majibu yake hayaonyeshi kumsitiri mume wake hasa wakati huu ambapo ukweli haujajulikana?naona km anamsulubu kabisaa.au huyu mbasha alianza zamani habari ya michepuko hadi mkewe akaona this time nooo.na je flora haoni huduma yake ndo ishachafuka hivo maana hawa watu walikuwa wanaonekana wana ndoa yenye mfano?nimejiuliza wee sipati majibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…