TANZIA Mume wa Rais Samia, Hafidh Ameir, afariki Dunia

Tunashukuru Warioba yupo



Tunashukuru
 
Inna Lillah WAINNA ILLAH RAJUUN, poleni sana.
 
Pole kwa Mhe. Rais wetu kwa msiba mzito wa kuondokewa na mwenza wake. Mungu ampe avumilivu katika kipindi hiki kigumu. Pole kwa familia ndugu na jamaa.
 
Rest in peace comrade!

Mchango wako wa kulipa kodi ulikua mkubwa sana!!

MAWAZO BINAFSI SASA,ELEWA MAWAZO BINAFSI!

Baada ya Emma kuondoka,na yule mbunge kutangaza re election ya mama by 2030!
Ile michezo yao imeanza yaa michezo

Sasa huyu comrade kaenda mwingine nae kaanguka akihutubia!wote ni ma comrade walipa Kodi wazuri!!

Mama anaweza kupanic,na kisasi chake ni hatari LISU utapona kweli!!?

Wazee wa chama mtapona!!?

Huwa wanaaanzia mbaaali sana!!

Wameanzisha sense of panic mode wakati unajiuliza what next!!!?wanapiga kwingine!!

NACHANGIA UCHUMI WA BANDO,NA HIZI NO SPECULATIONS WALA SIELEWI LOLOTE COMRADES!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…