Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Si ndo maana kaja kimya kimya bila matarumbetaHuyu kwa matendo yake lazima siku avunjwe miguu maana anajifanya kuwa anaweza kumtukana kila mtu...
Huyu kuna siku atavunjwa miguu kabisa..Ukimtoa duniani haimsaidi coz atakuwa tayari kafa.Labda afanyiwe kitu ambacho kila akijiona analia
Ukimtoa duniani haimsaidi coz atakuwa tayari kafa.Labda afanyiwe kitu ambacho kila akijiona analia
Huyu kuna siku atavunjwa miguu kabisa..
Teh Teh Boss nchi hii watu wana miliki vituo ndio maana hakuna mtu anaweza kureport jambo la hatari maana watakuchoma! Ila Mange anapitiliza sana...
Ahsante sijaamua tu nilivombishi ntafungua account nyingine niwafollow tena na doggymasta nae kaniblock teh
Huyo jamaa kakosea kumwonesha bastola maana kule polisi huyu mdada karipoti kutishiwa kuuawa hivyo ikitokea akafa hata kama hajafanya huyo jamaa basi huyo aliemtishia atakamatwa kama suspect # 1
Angekaa kimya amtengue mguu kimya kimya hata polisi wangepata wakati mgumu kuchunguza maana ana maadui wengi
Naye ka kapitiwa na mtu kamwacha roho ina muuma ndo mana daily ana mtaja kwenye maandishi yake.
Nyani Ngabu
Mimi sina uhakika
Si ndo maana kaja kimya kimya bila matarumbeta
Ni kweli kamtolea hiyo bastola?
Mshasikia na upande wake?
Au maneno ya huyo mwanamke mnayaamini 100% kuwa ndo ukweli, ukweli wote, na ukweli mtupu?
Kuna mashahidi walioshuhudia tukio zima? Kama wapo, wao wanasemaje?
Ha ha ha huyo nae anaonaga kama yaani dunia nzima mwenye tako yeye. Arghhhhhh
Ha ha ha ndo nataka nipeleke malalamiko yangu kwenye uongozi wa InstagramHahaha yaani mpaka dougiemasta kakublock
Shosti andamana wanakunyanyasa aisee
Tako huku kashika simuHivi huyu masogange hana pozi jingine zaidi ya pozi la tako?????