Mange ndio karudi kimoja kuishi bongo, Marekani kumemshinda.
Ametafuta bodyguard bali anadai kapewa na mdau bure...apewe bure mmmh. Kaogopa mmama wa watu kaenda kukodisha bodyguard.
Then anasema haachi kuandika wauza unga asietaka kuandikwa akafanye kazi ya uhalali
Kamtukana Shamim kuwa sio mwanamke hakumface mwenyewe...hapi kasahau alitukana mumewe na wenzake na kuwataja kuwa wanahusika na sembe sasa anajaribu kubadili maneno bika fikra.
Haya wauza sembe Mange karudi kupambana nanyi live akiwa anaishi bongo. Kweli amehakikisha kuwa ndoa yake ilikufa aliachwa na udhamini wa Mwamvita kumpa pesa ya biashara ilivyokufa hata kusaidiwa pesa ameamua kurudi.
Karibu Tanzania hapa ndio kwenu hakuna kama nyumbani. Tutasikilizia juhudi zako za kupambana na wauza sembe ila kumbuka unatukanaga watu pia bila makosa waliyofanya zaidi ya kuwa na chuki nao.
Oops she said pia anatafuta bodyguard mwingine ndio maana haogopi mtu...mmmh what??? Hauogopi then u got a bodyguard!!!!!