BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,767
- 23,198
Ha ha ha ndo nataka nipeleke malalamiko yangu kwenye uongozi wa Instagram
Alivo na mdomo Mange sio wa kuja TZ kimya kimya... Afu anajifanya haogopiNahisi saa hizi kutakuwa na kikao cha madada wa mujini....labda hosti mrs dona.....agenda kumkomesha Mange. Hehehehe, I am waiting for more ubuyu.
Duuuuh tena awe makini.....maana nchi yenyewe hii.
Biti tu hilo, kama haogopi kituo cha polisi angeshuti, kamtia tu jamba jambaKumbe vituo vya polisi ni mali binafsi???? Ndio maana vijana mtaani wanaharibika tu deile.......
Ila nae ushamba wa kizamani kumtishia mtu bastola ( au ndio hakuna sheria????)
Mwenzie lazima atakuwa kahifadhi ushahidi..Atakimbilia kwenye blog sasa kufuta posts zao zote maana jina la mumewe Shamim alilitaja mwaaaaa na wenzake wengine tuliyajulia kwenye blog yake.
Huyo jamaa ilitakiwa amtegue miguu kabisa ..Oh okay..
Maana ulivyoandika ni umeandika kana kwamba una uhakika na hukuweka qualification yoyote ile.
Habari za upande mmoja si vizuri kuzichukulia kuwa ndo ukweli wa mambo [ingawa zaweza kuwa].
Nahisi saa hizi kutakuwa na kikao cha madada wa mujini....labda hosti mrs dona.....agenda kumkomesha Mange. Hehehehe, I am waiting for more ubuyu.
Kwa jinsi alivyo mwongo, naona asilimia 80 ni chumvi. She can manipulate your mind in ways u cant understand. MUME wa Shamim naye mshamba. Angemtafutia wazee wa kazi wakachape mpaka kashike akili zake.
Jamani mliotukanwa, mtu wenu huyo kajaaa...
Hahahaaa mtu wetu huyooo kaja! In a minute usipomjua Mange anaweza kukubadilisha namna ya kuamini kwako!
Really?
Yaani kivipi hasa?
Maana mtu kama una akili yako timamu na ukiishirikisha vizuri si kazi ngumu kubaini pumba ni zipi na mchele ni upi.
Mbona sisi wengine huwa ni vigumu kuamini amini tu maneno ya watu hususan yaliyo ya upande mmoja....
Au sisi wengine ni breed tofauti na wengine?
Sio siasa wanajuana vizuri hadi ndani sasa naona anatoa kinyongo chake na hivi waligombana na mwami ndo basi kumuandika. Sasa Leo January aliingiaje eti watashirikiana naye kumshikisha adabu.Duuuuh hii ni hatari....me nkajua ni siasa tu nothing else,kumbe yapo mengine.Teh teh
Mimi sikuwepo ila am hesitting to believe everything she wrote!
Hahahaaa hapa mi nawazungumzia simple minded people, tena hasa wale wa instagramu na kwenye blog yake! As for me huyu dada hata aongeaje namuelewa fika!
Tena ukitaka kuamini hilo kaangalie watu jinsi walivyomvamia shamimu huko insta, mind zao zimekuwa corrupted gafla kwa maneno ya mange wakati ukweli wa tukio sote hatuujui!
Apigwe tu tena apunguze kusema wengine vibaya. Mbutananga IG anatumia jina gani?mbuta nanga anasema kuwa ni kweli mangekimambi kapigwa na makofi
mbuta nanga anasema kuwa ni kweli mangekimambi kapigwa na makofi
Hivi huyu masogange hana pozi jingine zaidi ya pozi la tako?????
Mange ndio karudi kimoja kuishi bongo, Marekani kumemshinda.
Ametafuta bodyguard bali anadai kapewa na mdau bure...apewe bure mmmh. Kaogopa mmama wa watu kaenda kukodisha bodyguard.
Then anasema haachi kuandika wauza unga asietaka kuandikwa akafanye kazi ya uhalali
Kamtukana Shamim kuwa sio mwanamke hakumface mwenyewe...hapi kasahau alitukana mumewe na wenzake na kuwataja kuwa wanahusika na sembe sasa anajaribu kubadili maneno bika fikra.
Haya wauza sembe Mange karudi kupambana nanyi live akiwa anaishi bongo. Kweli amehakikisha kuwa ndoa yake ilikufa aliachwa na udhamini wa Mwamvita kumpa pesa ya biashara ilivyokufa hata kusaidiwa pesa ameamua kurudi.
Karibu Tanzania hapa ndio kwenu hakuna kama nyumbani. Tutasikilizia juhudi zako za kupambana na wauza sembe ila kumbuka unatukanaga watu pia bila makosa waliyofanya zaidi ya kuwa na chuki nao.
Oops she said pia anatafuta bodyguard mwingine ndio maana haogopi mtu...mmmh what??? Hauogopi then u got a bodyguard!!!!!