Mume wa Shamim amtishia Mange Bastola

Status
Not open for further replies.
Hiyo case mbuzi tu kutishia bastola atatoa 2m police wanaweka mfukoni hao....ila huyo dada kama kafikia kwao wamfukuze mana wanaweza chomewa nyumba moto au kuvamiwa bure,cjui kalizaliwa stendi mana kanatukana hako kma hakana akili timamu
 
Nmemuona nmepita tu kimya mi nna gundu yani hata nikicoment "mmh" nablokiwa, washaniblock wengi, Mange hadi kwenye blog yake kanifungia

Ha ha ha shem umezidi na wewe lol.. Inaonekana hata mwandiko wako umekaa kisharishari ndo maana wakiuona tu wanakublock..

Hahahah

Ila mwenzio huwa sicomment kwa hawa mastaa ushuzi wetu..... naepuka kublokiwa na nikikosa umbeya kilo zinapungua....

Ha ha ha BADILI TABIA.. Uko insta wanawake mmepageuza ndo source ya ubuyu lol.. Halafu ninasikia inakula mb sana maana nalalamikiwa.. 2gb zinakatika ndani ya siku 2 tuu..!
 
Mange Kimambi ni mwanamke mbaya sana, na ni mbinafsi. Anatukana watu kila siku na kuachia macomment watu wanaachwa uchi na familia zao, wivu umemzidi, halafu hakuna kitu kinamuuma kama urafiki wa kiki, Mwamvita na Nacky yaani kama awamwagie sumu vile.

Kila kukicha anawachokonoa, alijidai yeye na mwammy wako poa tu, sasahivi kashindwa kuvumilia, kamtukana January Makamba weee na kuanzia jana baada ya ile post ya mapambo ya Dodoma, kaanza kuachia macomment Mwamvita anatukanwa sana. Nawashangaa hao Lovenesss, Theo wanaojifanya rafiki zake, kumbukeni Mwamvita, Kiki walikuwa close na Mange kuwazidi nyie, mtakuja kuachwa uchi tu, shauri yenu.

Mi sipendi rafiki ambaye mkikosana kidogo anaanza kukuanika, tena na mitandao siku hizi yaani hovyooooo. Mange anadai amerudi for good, katamka hiyo zaidi ya mara 4, sijui anamzuga nani, au labda kweli. Au anataka tu kuwachanganya watu ili aondoke kimyakimya, anawaogopa sana watu kwa sababu ya ubaya wake ila anashindwa kuadmit, Mange anahitaji daktari wa magonjwa ya akili amcheki, yaani ana roho ya ajabu sana.

Sijapata kuona mwanamke kashindikana bara na visiwani. Muislamu safi huyo alikuwa kafunga, ghafla akaanza kumtukana January na mambo ya siasa, na kuachia comments chafuu katikati ya mwezi wa Ramadhani, halafu anajitia anafunga na kuvaa abaya. Mweeeeee, ngoja tuone hiyo kesi itakapoishia.

Ana uhakika Dr. Mwele atamsaidia kuhonga kutetea. Akae akijua wenzake pia wana evidence zote za kuwatukana na kuachia comments chafu kuhusu wao. Hivi jamani, ina maana Mwele na mamake wa kambo (mama yao kina Naki, yule mheshimiwa Kilango aliyeolewa na Malecela) ina maana ndio hawaelewani kiasi hiki?

Sasa kwanini wanaachia masiri yao waziwazi hivi? Mwele naye anamuachia Mange anamtukana Naki na mheshimiwa Kilango anatukanwa, ina maana hawaelewani? Yaani mama kilango katukanwa leo mle kaambiwa anatembea na Nape. Sasa sijui Mange ana evidence hadi kuachia comment kama hiyo? Chaaaaaaa, mimi nimechoka.

Hivi Frank Gonga ameona huyu mwanamke ndio anafaa kumlea huyo bhoke? Mtakuja kuniambia. Mange atakuja kuwa na mwisho mbaya sana, na hii issue ya kumtishia wala haijapangwa na Nsembo peke yake, ni watu kibao walioumizwa wamekaa kikao wakapanga, wote including Makambaz na Ridhiwani pia labda, maana nao wametukanwa mnooooo, tena sana.

Sasa anadai karudi Bongo for good, ukute ndio ile likizo yake bila malipo huwa anapewa, walipotoka Dubai bwana akatangulia USA akaenda kukaa kwa wazazi, bibi na mwana wakaswekwa Bongo miezi 8, sasa hivi bwana anasoma naona anakaa Mabibo Hostel hahahaa, bibi na watoto wameswekwa Bongo mpaka bwana amalize shule labda, hapo wanasave hela ya rent hahahaaahaha, halafu bado anadai yeye tajiri na ana urithi mwingi, na mdogo wake yule chinene eti anataka kununua apartments USA.

Sasa si wampe hela amsaidie mume kulipa rent wakae wote? Alitutishia majuzi ooh karibu tunahama, hii apartment mkataba unaisha, nitapamiss sasa tunahamia kwenye nyumba yetu kubwa I cannot wait, hahaha mkataba wa nyumba umeisha sababu mlikuwa mnalipiwa na kampuni ambayo bwana ndio kafukuzwa kazi, so lazima muhame. Hiyo dream house yenu sijui itakuwa tayari lini, mtaishi kwa mikopo ya Marekani, mtalipa mpaka mtoke mikojo machoni. Kiruuuuuuu mwanamke unajua kuchefua, sio kwa tabia hiyo aiseeeee
 
Mange namuita mbinafsi sababu yote anayoyafanya hafikirii kuwa ana watoto wadogo na bado wanamuhitaji, eti mi siogopi kufa kwa kutetea ukweli, haya kila la kheri, nasikia umekuja kugombea ubunge, utachaguliwa na Wapare wenzio.

Unatetea ukweli gani wakati evidence hauna, kazi kuchochea magomvi kwenye familia za watu, kujifanya uko close na Mwele, wakati lemutuz unamtukana kila siku, huoni kuwa unaingia undugu wao? Mja laana wewe, hivi eid utacheza kabisa na kusheherekea? Nenda Mecca kahiji
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…