Mume wa shangazi ananitaka kimapenzi, naomba ushauri

Ila we unamaliza la Saba tu? mbona uandishi wako unamshinda mbali hata yule Ironbutterfly anaesemaga ana masters ya Birmingham

Anyway, pole Kwa mtihani,hao ndio wanaume hawakupi msaada bila return,,,hapo tumia akili za kuzaliwa kutatua hiyo puzzle
Humu sasa unatafuta vita na watu,mimi staki kugombolezea[emoji2]
 
Huyu ni tapeli wa mapenzi,eti miaka 19 halafu join jf 2016
 
Huu mtandao ni wa mazombi mkuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Darasa la saba ila ana nondo za hatari[emoji1787]
 
Njaa will humble you...ukitaka kuwa na jeuri ya hivi uwe na kwa kufikia nje na hapo utaenda kutombeka na wahuni kwa elfu mbili mbili ...ampe tu
 
Kwahiyo jf ulijiunga ukiwa na miaka 16 Na hiyo miaka 16 siulikua darasa la nne au ni mimi nachanganya wana Jf wenzangu?
 
hizi ni story za kizinzi. sikuhukumu ila zinahamasisha uzinzi na sio story za kweli. darasa la saba aliyekuwa housegirl hawezi kuandika story kama hii, na ni wachache sana wapo JF. usifikiri sisi watoto. mwongo mkubwa wewe.
 
Sidhani kama la saba wanaandikaga hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…