Mume wa Spika Tulia kuwa Mkurugenzi EWURA, ni Mateso kwa taifa, Mafuta hayapatikani

Mume wa Spika Tulia kuwa Mkurugenzi EWURA, ni Mateso kwa taifa, Mafuta hayapatikani

Nasema hili kwa nia njema kabisa. Mama kuhusu ishu ya mafuta nina uwakika hajui kua mafuta ni shida kubwa kwa sasa.
Usicomment vitu vilivyo nje ya upeo wako.

Rais kila siku asubuhi anapewa briefing ya nchi nzima na DG wa Tiss ambaye analetewa report ya RSO wote wa nchi nzima kila siku.
 
kwanza ni wapi hapo hakuna mafuta, au unaokoteza viumbea vya husda, mwenyewe huna boda boda sheli ulienda kufanya nini. Wenzako wote PhD holders we unakuja huku na husda zako, uonage aibu. Ikitokea hitilafu kidogo sehemu flani mnakuja huku, mmeifanya JF jukwaa la walioshindwa maisha, wenye stress
Ona hii takataka inaandika upumbavu utadhani Bata anaharisha.

Hujui kinachoendelea takataka kaa kimya.
 
Hata mke wa clinton alikuja kuwa Waziri wa Nje wa US Na baadae akagombea uraisi wa nchi! Kama ana uwezo hakuna shida asibaguliwe kwa vile ni mke wa Spika!
 
PhD nyingi za bongo ni za kwenye makaratasi. Not applicable in the real world.
Makaratasi na things on the ground Ni mbingu na nchi.
 
Je, Rostam Aziz kashamuweka Kiganjani?

Tangu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), Dk James Mwainyekule ambaye pia ni mume wa Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson akamate kiti hiki, Mafuta yamekuwa ya Tabu sana kupatikana.

Napendekeza aondolewe ili kuokoa taifa sababu Wanasiasa Marafiki zake wamemzidi maarifa.

Ukiacha kuwa mume wa Spika, ni rafiki Mkubwa wa Waziri Makamba. Makamba ni Rafiki wa Rostam. Makamba ni Waziri wa Nishati. Mteule wa Rais.

Tumuweke mtu ambaye sio Mwanasiasa.

Hapokei Ushauri wa watu wa chini wala Maelezo ya Bodi.

Basi kama anaogopwa sababubya Spika, ahamishwe apelekww Kilimo.

EWURA imewekwa mtu kati. Nani atusemee Watanzania mbele ya matajiri hawa?
Ukimuona Ngedere mjini ujue kaletwa!
 
Hatari Mno. Wanao safii na magari madogo kati ya Dar hadi kigoma wana pata shida sana.

Ukishafika gairo, hakuna mafta, tabora hakuna mafuta. Kimsingi vituo vya nje ya mkoa vyote havina mafuta.
Jana Kipara anahangaika na mafanikio ya mchongo ya TANESCO anaacha issue nyeti ya Mafuta!
Tuna Waziri wa Nishati kiazi sana!
 
Tatizo ni Ewura kama uwura!?
au tatizo Dr James Mwainyekule!?
Tatizo ni umume wa spika!?
Tatizo ni Spika!?
Tatizo ni umke wa mkurugenzi!?
Au tatizo ni dada Tulia Jackson!?

Kama vile siielewi maada
Hatuwapendi yeye DG na mkewe wote!
 
kwanza ni wapi hapo hakuna mafuta, au unaokoteza viumbea vya husda, mwenyewe huna boda boda sheli ulienda kufanya nini. Wenzako wote PhD holders we unakuja huku na husda zako, uonage aibu. Ikitokea hitilafu kidogo sehemu flani mnakuja huku, mmeifanya JF jukwaa la walioshindwa maisha, wenye stress
Maisha tunayo na ndiyo maana tuna pesa ya bando kila siku.Ni hivi kama umekalia ofisi ya Umma utasemwa na kukosolewa sana tu ukikosea.Kama hutaki wakosolewe, washauri wakafungue ofisi zao binafsi!
 
Usicomment vitu vilivyo nje ya upeo wako.

Rais kila siku asubuhi anapewa briefing ya nchi nzima na DG wa Tiss ambaye analetewa report ya RSO wote wa nchi nzima kila siku.
Kwaiyo hajui kwamba mafuta hamna?
 
Back
Top Bottom