Mume wa Wolper

Mume wa Wolper

Usishangae hata mahali Wolper kajichangia.Maana alikuwa anataka sana ndoa.Na condition ya kumkubalia ilikuwa ni Ndoa.
Basi Kama ni hvyo ngoja na mm nitangaze ndoa kwa sepenga... Kama kigezo ni ndoa.. Ila sikubaliani na mawazo yako mkuu,, kwn bila kumshawishi wolper sidhani Kama angeingia kwnye ndoa,,, hana uhitaji wa hvyo hasa kwa MWANAUME sura NGUMU
 
Aliandika mwenyewe IG.
 
Brown
Mwanamme anapiga piga mapicha na kujiremba ovyo.
Yani anashinda Gym na kutinda nyusi awanase wanawake wenye pesa .
Mwanamme mdangaji simpendi kabisa.
Wanatutesa kimapenzi na pesa wanataka shenze.Afanye kazi aache umariyoo
[emoji102]
Nakusalimu ms... [emoji4]
 
Aliandika mwenyewe IG.
Duu.. Kwhyo unakubaliana na mm kwamba wanaume SURA NGUMU NDY waoaji na NDY mpango nzima,,, na sio longolongo,,,, kwahyo wolper yupo alipostahili,, kachoshwa na wanaume wanaocheka cheka,,,,
 
Kizazi cha wachagga nadhani kimebadilika sana . Kutoka kile cha zamani cha "unashika chakula ya mtoto, ukimalisa, funika sambi ni sako mwenyewe" hadi hiki cha akina snura, tunda na wolper?
 
Duu.. Kwhyo unakubaliana na mm kwamba wanaume SURA NGUMU NDY waoaji na NDY mpango nzima,,, na sio longolongo,,,, kwahyo wolper yupo alipostahili,, kachoshwa na wanaume wanaocheka cheka,,,,
Hapana
 
Mume wa Wolper huyo! Wine zote zimeniisha..

f8406e3da6b91cda2073783d1416af61.jpg

Dinazarde

Ni sawa, si alisema anapenda wanaume wenye sura mbaya ili asiibiwe na wenzake.
 
Back
Top Bottom