Wambea tumeumbukaaKumbe ni wimbo?
[emoji23][emoji23][emoji23]Wambea tumeumbukaa
Mbona Harmonize walimbebea.Ni sawa, si alisema anapenda wanaume wenye sura mbaya ili asiibiwe na wenzake.
Shoga ang ebu ntupie no ya huyu kaka maana nimemuelewa si kitoto[/QUOTE][QUOTEang inazarde, post: 25409244, member: 193860"]Mi wanaume wenye sura ngumu hivi hapana ,,sifurahiagi kiukwelii
Kua na mustach ni kawaida na inavutia tu ,,kama huuView attachment 680493 unavutia
Ila hata nilikua siamini[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwanini lakini na yeye atudanganye sasa? Au ndo ana njaa sana ya ndoaIla hata nilikua siamini
Kumpa kiki engine awe maarufuKwanini lakini na yeye atudanganye sasa? Au ndo ana njaa sana ya ndoa
Hashindwi kumpaa na papa pia ujueKumpa kiki engine awe maarufu
Hahahahaha! We dada sio mzima aseeeWeee akiwa na kasura kazuri halaf na mwanya weee utafyrahia,,sasa huyu sijui tumuombee wolpa
KwaniniiHahahahaha! We dada sio mzima aseee
Comments zako zinanivunja mbavu sana!Kwaninii
Ilimradi mwanaume anapesa kushea ni lazima tu. Wolper mwenyewe pesa ndizo zimempeleka paleWolper awe na amani, kuibiwa hapa si rahisi
Unasema?Shoga ang ebu ntupie no ya huyu kaka maana nimemuelewa si kitoto
Ooh sawaComments zako zinanivunja mbavu sana!
Hicho kidevu tu na lips ndo kaugonjwa kangu[/QUOTE]Unasema?
Umemuelewa nini hujaona sura nzima