Mume wa Wolper

Mume wa Wolper

Kizazi cha wachagga nadhani kimebadilika sana . Kutoka kile cha zamani cha "unashika chakula ya mtoto, ukimalisa, funika sambi ni sako mwenyewe" hadi hiki cha akina snura, tunda na wolper?



Hawa sio pure,hawa ni mamixture wa mjini huku...Wachagga walikuja kwa pupa wakakutana na mashangingi ya mji yakapata matoto ya town huku ndio hawa sasa!

Pure hawana uduwanzi huu.

Crossbreed ndio shida zao hizi!

Mhaya au Mnyakyusa pure ni tofauti na hawa mixture za huku town!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unamjua Mdudu Kaa?
Hapana simjui, sidhan kama atakua rika langu, maana vijana wa rika langu wa mwana K, igovu, national housing sidhani kama kuna hata mmoja nisiyejua. Mimi nimemalza form 4 mwaka 2002, kipindi hicho sadick alikua anarap kundi la fire extinguisher na kina armstrong matogwa, na alikua anaimba km juma nature. Hata mimi nilikua naimba na kila jumapili tulikua tunakutana eneo flan linaitwa Greenpark garden ili kupimana uwezo makundi yote ya mp
 
Kuna watu mafundi sana katika kuumba, ila jambo la kumwambia MTU ana sura mbaya ni mkosi na laana, usicheke mkunga na uzazi ungalipo. Je, kama baba, mama au ndugu wa Huyo Jamaa wanasoma hizi comments wanajisikiaje? Kuna watu wanalia usiku na mchana kutafuta hata mtoto mwenye chongo hawampati. Jamani, mambo ya mungu tumuachie mungu!!
 
Mume wa Wolper huyo! Wine zote zimeniisha..

f8406e3da6b91cda2073783d1416af61.jpg

Dinazarde
Ulitaka mume wake aweje?Wolper ni Star asiyembaguzi kwenye mahusiano kama kamuelewa jamaa cha ajabu nini?weka picha ya mumeo tumuone.(kwanza hujaolewa)
 
Back
Top Bottom