Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Sarakasi za kuelekea Uchaguzi Mkuu zimeanza rasmi.
Sasa hivi kuna watu wameshaanza kujitengenezea njia za kuwa wabunge na viongozi mwaka 2025 na mmojawapo ni mume wa Zamaradi Mketema.
============================================
Shabani Saidi Mkurugenzi wa Zamaradi TV amekabidhi vitu mbalimbali wilayani masasi kwa lengo la kuisaidia jamii kwa kile kidogo alichojaliwa kukipata
Ametoa bati, 40 kanisa la Anglicana chiwale, T shirts 36 kwa wanakwaya kanisa la Mtakatifu secilia parokia ya lukuledi, mabomba mawili na mipira ya maji s/m lukuledi, viti , 30 kanisa la chikunja la tag, Aidha Ndugu Shabani amechangia divai lita 20 katika makanisa ya lukuledi na chiwale.