Pre GE2025 Mume wa Zamaradi Shabani Saidi atoa "msaada" wa mabati na T Shirt kwa wananchi wa Masasi

Pre GE2025 Mume wa Zamaradi Shabani Saidi atoa "msaada" wa mabati na T Shirt kwa wananchi wa Masasi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Zamaradi huwa anajiona ana akili nyingiiiiiiiii, ndio anamdanganya huyo jamaa.
anazo mkuu, anaride bmw x6, watoto wanasoma shule kali, nyumba nzuri, nn cha zaidi unataka hapa duniani,
 
Sasa bwana Shabani..huko msikitini hawahitaji msaada? Charity begins at home
 
Mmesahau Zamaradi naye aliwahi kugombea Kinondoni akapata kura 2? Tulicheka mno, na hivi huwa anajiona akili kubwa.

Siasa sio mchezo, wenzao wamejijenga huko miaka yote wao wanaleta mambo ya zimamoto kampeni zikikaribia. Wajumbe wanawachora tu, wakati wao wa kula huu.
wivu tu maisha ni kuthubutu
 
Zamaradi huwa anajiona ana akili nyingiiiiiiiii, ndio anamdanganya huyo jamaa.
Ni kweli. Huko awaachie akina prof. Janabi.

By the way anatumia mbinu ya mwaka 47 kutafuta ubunge. Kuna wenzake walijaribu mbinu hiyo, walipoukosa ubunge walitamani kurudi kudai misaada yao,.

Hapo wajumbe wanam-zoom tu.
 
Wakuu,

Sarakasi za kuelekea Uchaguzi Mkuu zimeanza rasmi.

Sasa hivi kuna watu wameshaanza kujitengenezea njia za kuwa wabunge na viongozi mwaka 2025 na mmojawapo ni mume wa Zamaradi Mketema.

============================================

Shabani Saidi Mkurugenzi wa Zamaradi TV amekabidhi vitu mbalimbali wilayani masasi kwa lengo la kuisaidia jamii kwa kile kidogo alichojaliwa kukipata

Ametoa bati, 40 kanisa la Anglicana chiwale, T shirts 36 kwa wanakwaya kanisa la Mtakatifu secilia parokia ya lukuledi, mabomba mawili na mipira ya maji s/m lukuledi, viti , 30 kanisa la chikunja la tag, Aidha Ndugu Shabani amechangia divai lita 20 katika makanisa ya lukuledi na chiwale.


View attachment 3174439
Halambi kura ya secretarybird hata angetoa figo.

Sipendi mitego ya ajabu ajabu.
 
Back
Top Bottom