Pre GE2025 Mume wa Zamaradi Shabani Saidi atoa "msaada" wa mabati na T Shirt kwa wananchi wa Masasi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Zamaradi huwa anajiona ana akili nyingiiiiiiiii, ndio anamdanganya huyo jamaa.
anazo mkuu, anaride bmw x6, watoto wanasoma shule kali, nyumba nzuri, nn cha zaidi unataka hapa duniani,
 
Sasa bwana Shabani..huko msikitini hawahitaji msaada? Charity begins at home
 
wivu tu maisha ni kuthubutu
 
Zamaradi huwa anajiona ana akili nyingiiiiiiiii, ndio anamdanganya huyo jamaa.
Ni kweli. Huko awaachie akina prof. Janabi.

By the way anatumia mbinu ya mwaka 47 kutafuta ubunge. Kuna wenzake walijaribu mbinu hiyo, walipoukosa ubunge walitamani kurudi kudai misaada yao,.

Hapo wajumbe wanam-zoom tu.
 
Halambi kura ya secretarybird hata angetoa figo.

Sipendi mitego ya ajabu ajabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…