Mume wa Zari amekung'utwa huko Kampala kwenye masumbwi

Mume wa Zari amekung'utwa huko Kampala kwenye masumbwi

kyagata

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2016
Posts
13,966
Reaction score
26,220
Kulikuwa na pambano jana huko mjini Kampala lililopewa jina la Kampala Ramble

Ebana huyo mume wa Zari a.k.a mume mwenza wa Diamond Platnumz kachezea vitasa, yani kapigika haswaa.

Tumuombee tu awe hajaumizwa.
 
Siyo ajabu,ameonyesha ni mpambanaji.
 
Kulikua na pambano jana huko mjini Kampala lililopewa jina la Kampala Ramble
Ebana huyo mume wa zali a.k.a mume mwenza wa Diamond Platnumz kachezea vitasa.yani kapigika haswaa.
Tumuombee tu awe hajaumizwa.
Ilikuwa boxing au ule mchezo wao wa mapigano wa Uganda
 
Kulikua na pambano jana huko mjini Kampala lililopewa jina la Kampala Ramble
Ebana huyo mume wa zali a.k.a mume mwenza wa Diamond Platnumz kachezea vitasa.yani kapigika haswaa.
Tumuombee tu awe hajaumizwa.
si anacheza boxing si kawaida iyo unavyosimulia kama unazua taharuki kapigana mtaani bila mpingilio au kafumaniwa ila wabongo kwa kuzua taharuki tupo vizuri
 
Yule bwashee ndondi hujui kwahiyo akiendelea vile atapigika kila mpambano. Boxing sio mchezo wa show off vijana mtaumia
 
Kulikua na pambano jana huko mjini Kampala lililopewa jina la Kampala Ramble
Ebana huyo mume wa zali a.k.a mume mwenza wa Diamond Platnumz kachezea vitasa.yani kapigika haswaa.
Tumuombee tu awe hajaumizwa.
Alikula vitasa mpaka akakata moto
 
Yule bwashee ndondi hujui kwahiyo akiendelea vile atapigika kila mpambano. Boxing sio mchezo wa show off vijana mtaumia
Nimeona video fupi ya KO aliyopigwa. Yule sio bondia labda kama anataka kutumia umaarufu tu kupiga hela uko kwenye ndondi
 
Kulikua na pambano jana huko mjini Kampala lililopewa jina la Kampala Ramble
Ebana huyo mume wa zali a.k.a mume mwenza wa Diamond Platnumz kachezea vitasa.yani kapigika haswaa.
Tumuombee tu awe hajaumizwa.

Adundwe tu hakuna namna.
 
hIZI MBUNYE HIZI,
haiyumkini huyon dogo kashauriwa na MBUNYE aende ulingoni kupigana huku hana hata zoezi la maana.
Yule mwanamke wake namfananisha na delila yule,
jamma yake Ivan DON alipokufa yule Zari katoka baruti katia maguu kwenye msiba kudai mali.
Leo anaitwa Bosslady.
mali zote ni za mganga wa kienyeji amabaye nduguze kwa kukosa elimu wakapigwa na mke katafuta kimario ndo hicho kinabagazwa tu ulingon.
Balaa hilo shetani halichelewi kumbwaga huyo bishoo na likawa na huyo aliyeshinda.
tupo hapa
 
Back
Top Bottom