Ilikuwa boxing au ule mchezo wao wa mapigano wa UgandaKulikua na pambano jana huko mjini Kampala lililopewa jina la Kampala Ramble
Ebana huyo mume wa zali a.k.a mume mwenza wa Diamond Platnumz kachezea vitasa.yani kapigika haswaa.
Tumuombee tu awe hajaumizwa.
si anacheza boxing si kawaida iyo unavyosimulia kama unazua taharuki kapigana mtaani bila mpingilio au kafumaniwa ila wabongo kwa kuzua taharuki tupo vizuriKulikua na pambano jana huko mjini Kampala lililopewa jina la Kampala Ramble
Ebana huyo mume wa zali a.k.a mume mwenza wa Diamond Platnumz kachezea vitasa.yani kapigika haswaa.
Tumuombee tu awe hajaumizwa.
Alikula vitasa mpaka akakata motoKulikua na pambano jana huko mjini Kampala lililopewa jina la Kampala Ramble
Ebana huyo mume wa zali a.k.a mume mwenza wa Diamond Platnumz kachezea vitasa.yani kapigika haswaa.
Tumuombee tu awe hajaumizwa.
Nimeona video fupi ya KO aliyopigwa. Yule sio bondia labda kama anataka kutumia umaarufu tu kupiga hela uko kwenye ndondiYule bwashee ndondi hujui kwahiyo akiendelea vile atapigika kila mpambano. Boxing sio mchezo wa show off vijana mtaumia
Kulikua na pambano jana huko mjini Kampala lililopewa jina la Kampala Ramble
Ebana huyo mume wa zali a.k.a mume mwenza wa Diamond Platnumz kachezea vitasa.yani kapigika haswaa.
Tumuombee tu awe hajaumizwa.
Mkuu umepoteaAkilelewa mnasema...akitafuta hela Kwa kudundwa mnamcheka