Mume wa Zari na wenzake wakamatwa Afrika Kusini

Mume wa Zari na wenzake wakamatwa Afrika Kusini

South naigopa sana hasa Durban kwa ishu za sembe ,ngoja tuone kama tatizo ni usangoma wao
 
Kwa hio mkuu una amini Zari amekata mahusiano na huyo mmewe
Zari demu Don town kitambo
So biashara zote na Ivan wanaendeleza
Na hii inakuja ku athiri familia hii mpya yake na diamond mtoto wa tandale
Km kweli ni majanga na sio uzushi

Wanamahusiano ya watoto tu au?

Alafu nyie wanaume huwa mnadeal zenu peke yenu mnaziitaga za kiume hamshirikishi wanawake zenu, hapo unaweza ukakuta kuna mambo dangerous huyo Ivan alikuwa anayafanya bila hata huyo Zari kujua wala kushiriki! U never know
 
Sasa kijana mdogo hujawahi kuoa wala kuzaa unajenga mahusiano na mwanamke mwenye watoto watatu na mume tena kutoka nchi ambayo wanajinasibu kuwa 'superior' kwa watz ulitegemea nini!?
Mkuu ki ukwel me nimeshindwaga kuamin
Japo TUNASEMA swala la MAPENZI ni la mtu binafsi lakini diamond kwa hili Ali bugi
Na km wataendelea kuwa pamoja subiri Baada ya miaka 10 nini kitatokea
Nisijivike utabiri tusubiri
 
Wanamahusiano ya watoto tu au?

Alafu nyie wanaume huwa mnadeal zenu peke yenu mnaziitaga za kiume hamshirikishi wanawake zenu, hapo unaweza ukakuta kuna mambo dangerous huyo Ivan alikuwa anayafanya bila hata huyo Zari kujua wala kushiriki! U never know
Tusubiri kusikia mengi hulda
Yakiwemo haya ya kuuza unga coz me nafs yangu inaniambia kabisa
Kati ya Zari au ivani au diamond lazma tu mmoja wapo anashiriki uuzaji wa sembe hio ni lazma na kawaida sana kwa wasanii wetu na hawa kina boss ladies
 
Bora zari alitosana nae mapema saivi angekuwa anahangaikia dhamana
 
Dah,nimemkumbuka marehemu Ng'wizukulu Jilala aliyefarikia Angola, hizo ndo zilikuwa ishu zake hizo,Mara ya kwanza na ya mwisho kumwona Ng'wizukulu ilikuwa nchini Namibia mwaka 2004.Kifo chake kilihusiana na mambo haya haya usangoma.
 
Hivi toka lini wazazi huwa wanaachana? Domo pale amekula hasara ipo siku yale madogo yanakuja kumgeuka....kuwa Mali zote ni za Mama yetu hivyo wewe huna chako hapa...
 
Hii habari inaacha maswali mengi,ntarudi ikikamilika.
 
Tusubiri kusikia mengi hulda
Yakiwemo haya ya kuuza unga coz me nafs yangu inaniambia kabisa
Kati ya Zari au ivani au diamond lazma tu mmoja wapo anashiriki uuzaji wa sembe hio ni lazma na kawaida sana kwa wasanii wetu na hawa kina boss ladies
Diamond ni punda wa Kinje na kampuni yao ni ile ile ya kina babu tale..
 
Diamond ni punda wa Kinje na kampuni yao ni ile ile ya kina babu tale..
Kama unajua yote haya kwanini usiwape ushirikiano polisi ili akamatwe, au ndio unatuonyeshea hizo chuki zako kwake ???
 
Waganga wanagongaga mademu wakali Mie nlijua jamaa ni bizness tycoon kumbe mpiga tunguli Haaaa.
 
Back
Top Bottom