Kwa hio mkuu una amini Zari amekata mahusiano na huyo mmewe
Zari demu Don town kitambo
So biashara zote na Ivan wanaendeleza
Na hii inakuja ku athiri familia hii mpya yake na diamond mtoto wa tandale
Km kweli ni majanga na sio uzushi
Mkuu ki ukwel me nimeshindwaga kuaminSasa kijana mdogo hujawahi kuoa wala kuzaa unajenga mahusiano na mwanamke mwenye watoto watatu na mume tena kutoka nchi ambayo wanajinasibu kuwa 'superior' kwa watz ulitegemea nini!?
Tusubiri kusikia mengi huldaWanamahusiano ya watoto tu au?
Alafu nyie wanaume huwa mnadeal zenu peke yenu mnaziitaga za kiume hamshirikishi wanawake zenu, hapo unaweza ukakuta kuna mambo dangerous huyo Ivan alikuwa anayafanya bila hata huyo Zari kujua wala kushiriki! U never know
Sasa imekuaje mondi akampora mke kama yeye ni sangoma, si amloge tu arudishe mke
Diamond ni mpuuzi kama wanaomshabikia walivyo wapuuziSasa kijana mdogo hujawahi kuoa wala kuzaa unajenga mahusiano na mwanamke mwenye watoto watatu na mume tena kutoka nchi ambayo wanajinasibu kuwa 'superior' kwa watz ulitegemea nini!?
Diamond ni punda wa Kinje na kampuni yao ni ile ile ya kina babu tale..Tusubiri kusikia mengi hulda
Yakiwemo haya ya kuuza unga coz me nafs yangu inaniambia kabisa
Kati ya Zari au ivani au diamond lazma tu mmoja wapo anashiriki uuzaji wa sembe hio ni lazma na kawaida sana kwa wasanii wetu na hawa kina boss ladies
chief kiumbeChief ki creature ndo nani
Hahahaha mna viji manenochief kiumbe
Kwahiyo wewe unayemchukia ndio mjanja?????Diamond ni mpuuzi kama wanaomshabikia walivyo wapuuzi
Waganga wa kidijito nawala si za kinyamkela.Waganga wa kienyeji hawawi manyangema
Kama unajua yote haya kwanini usiwape ushirikiano polisi ili akamatwe, au ndio unatuonyeshea hizo chuki zako kwake ???Diamond ni punda wa Kinje na kampuni yao ni ile ile ya kina babu tale..