Mume wangu alizaa nje: Nimekuwa na chuki na kusababisha kuchepuka nje ya ndoa

Nifanyie mpango na mimi basi mtoto mzuri
Ila pesa sina lakini nna ustadi wa kuchakata
Na ulivyokuwa mrembo

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
We ni mwanamke mpambanaji, hongera sana na pole

Ila kwani umechepuka?

Ndoa ni mapambano pia, ulipaswa upambane, ila wewe uliwaza Mali tuu...
Kuchukuliwa na mtoto ...

Huyo mtoto ni jaribu na ni baraka ungemlea na kumpenda tuu
Mpambanaji wakati wanajenga michepuko..🤣
Nafikiri neno mpambanaji Lina tofauti kati ya wanaume tunavyolitafsiri na wanawake wanavyolitafsiri
 
"Na sijamwambia kuwa ni mke wa mtu. Japo vijana ni wagumu kutoa pesa ila anajitahidi kiasi chake. Naamini atanisaidia hata kwenye biashara zangu binafsi, coz yeye anaagiza vitu china"

Wewe sio msaliti, Ni Malaya, watoto wanaitaji Elimu, sio kujengewa Nyumba kwa kujiuza.

Utakuwa na mwisho mchungu sana, watoto wanakuitaji wewe na afya ya akili zaidi ya hizo nyumba.

Wewe na mume wako wote mna shida very serious, nawaonea huruma watoto wenu.
 
Uligishumbu✋✋✋
 
We ni mwanamke mpambanaji, hongera sana na pole

Ila kwani umechepuka?

Ndoa ni mapambano pia, ulipaswa upambane, ila wewe uliwaza Mali tuu...
Kuchukuliwa na mtoto ...

Huyo mtoto ni jaribu na ni baraka ungemlea na kumpenda tuu

Amechepuka ili ajenge, anajiuza, sikuwahi kujua kwamba kujiuza ni upambanaji?

Reference ni maneno yake:

"Na sijamwambia kuwa ni mke wa mtu. Japo vijana ni wagumu kutoa pesa ila anajitahidi kiasi chake. Naamini atanisaidia hata kwenye biashara zangu binafsi, coz yeye anaagiza vitu china"
 
Sasa mrithi awe nani? Embu jibu taratibu bila mihemko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…