nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,379
Me naomba niulize,hivi kama huyu dada angekuwa amefunga ndoa ya kikristo angefanyaje?inamaan asingeweza kuachika mpaka mmoja afe?na asingeweza kuolewa tena?na kama angepata man mwingine angeishi nae tu lakini bila kutambulika kama ni mke?naomba nielimishwe wadau..
Hivi unadhani wote tunao comment humu tuna ndoa za msikitini. Siku hizi hakuna cha until death...mambo yakifika shingoni unasepa tu...Huku unafanya reference kwenye kosa la uzinzi linavyoruhusu divorce.
Hivi unataka kunambia hujaona Wakristu walo divorce??? Ndoa ilikuwa kifungo mwaka 1947 si leo.
nalala chumbani kwa mwanangu wa kikeKwa hiyo unalala wapi na mtoto?..banda la uani ama??
hapana mimi sio golikipa,ninafanya biashara na zinaniingizia kipato cha wastani ndo mana nimeweza kulea ujauzito mwanzo mwisho,Na hadi sasa namlea mwanangu.hapo pia ndo ambapo wanawake tunakosea sana manake kama kuwa goli kipa jamani tubadilike hata ile kodi ya meza save mia mia ili ujichezee kamcezo uate mtaji wako manake haya maisha si rahisi kiivyo kama wanavyofikiri. katika utumwa ambao tunapaswa kuuepuka ni ule wa kuwa tegemezi kiuchumi kwa wanaume yaani hio ndo hutumika kama kitanzi aisee. mimi huwa ni mkali sana kwa wanawake wa aina hii wallah kuliko uteseke eti kisa huna mtaj nitafute nikupe kwa riba ukomboke lol!
Sidhani kama umekuja kwa nia ya kunielimisha,naona unaushabiki ambao siuelewi,hebu shusha pumzi halafu unielimishe..
Ndugu ushabiki uko wapi? Ina maana mi muongo kusema wakristu wana divorce? Sikuelewi?
wako wengi tu mitaani ila wanakutana na wanawake wanaojua kuvaa miwani ya mbao!huwezi kunitoa chumbani,kama unataka toka wewe!huwezi kunilazimisha niende kijijini nikalee mama yako wakati wewe una dada zako,kama hutaki mama yako akae kwangu,basi dada zako waache waume zao wakalee mama yao.hatoki mtu!mume wangu tukae chini tujiulize tulikosea nini?tuombane msamaha,tuanze maisha upya!waume wa siku hizi bila kusimama kiroho ni vurugu tuuu!simama kiroho dada!
jitathmini dada..nahisi kuna kitu kimejificha ndani yenu.......halafu hapa hii story inatakiwa kuwa balanced,inatakiwa tupate na maelezo ya upande wa pili....
Mimi siamini kama kuna mwanaume anaweza kuwa katili kiasi hicho with no reason....
Lazima kuna kitu hapo....TUAMBIE VIZURI DADA ANGU
yaani sweetlady ukija kwangu nakupa ushauri uwe ngangari siyo nenda beba virago ondoka hapana. inabidi tueke mkakati wa kuwatimua wao wala sio sisi kutimka khaa! mbona kuna watu wanakomaa hadi baba anabeba virago na akienda vikimshinda anarudi na begi lakae kam mkimbizi? hatujaamua tu.
Sentesi yako ya kwanza imekaa kishabiki ndio maan nikakwambia hivyo,haya tuendelee sasa,kwahiyo wanadivorce na inakubalika kikanisa au inakuwaje? Na wanapo achana wanaandikiana talaka tu au kuna utaratibu unafuatwa?
Hivi unadhani wote tunao comment humu tuna ndoa za msikitini. Siku hizi hakuna cha until death...mambo yakifika shingoni unasepa tu...Huku unafanya reference kwenye kosa la uzinzi linavyoruhusu divorce.
Hivi unataka kunambia hujaona Wakristu walo divorce??? Ndoa ilikuwa kifungo mwaka 1947 si leo.
yaani jitu mmekutana wote mna meno 32 akunyanyase na wewe umetulia tu eti kiapo? kiapo kitu gani?
halafu huyo mwanaume maandiko yanasema mtu mume ataiaha nyumba ya baba yake na mama yake na kuambatana na mkewe nao watakuwa mwili mmoja, anapotaka mtoto wa mwanaume mwenzie akakae kijijini ana maana gani?
aambatane na mama mkwe wake?
mama mkwe ana mabinti, kwa nini wasiache ndoa zao wakaenda kumhudumia mama yao? au huyo binti ndo mwenye uchungu sana na mama mkwe kuliko watoto wake?
na huyo kijana nia na madhumuni ya kuoa ni nini? kupata housegirl wa mama yake au ameoa wa kufanan nae? waambatane pamoja?
mke huko kijijini nani atamtimizia haja zake za kimwili? mama mkwe?
na kijana huku mjini nani atapunguza mihemko yake?
tatizo huyo mleta mada hajitambui na hajithamini, muoga wa kuface maisha yake na legelege ndo maana ananyanyasika....
anapaswa kugangamala, saa nyingine wanaume wanahitaji mtu bandidu, akileta ukauzu na mke anakua kauzu mambo yanakaa sawa, lakini ukijinyenyekesha na kujitia unyonge sana matokeo yake ndo haya
hapo thathaWapi wanaharakati wa haki za wanawake au wanasubiria migomo tu kwa watumishi wa umma ndiyo wauze nyago kwenye TV?
Wasema nini kaka the Magnificent? Huamini mwanaume anaweza kuwa katili? Hujasikia kile kisa cha mwanaume mmoja huko mkoani mara aliyemburuza mkewe kwenye lami kwa kutumia gari lake?Upo ukatili wa kutisha unaofanywa na baadhi ya wanaume kama huyu mume wa Lonely Heart.
hapana mimi sio golikipa,ninafanya biashara na zinaniingizia kipato cha wastani ndo mana nimeweza kulea ujauzito mwanzo mwisho,Na hadi sasa namlea mwanangu.
Wengi wanatengana kwanza utaratibu unafuata baadae. It is more easier mkiwa mbali for say 2 years kupata talaka. Hata kama ndoa ni ya kanisani mahakama inavunja tu...ila with time, na kanisa linalainika nalo linavunja tu...nina experience ya watu wa karibu. Kanisa likiona hakuna huwezekano wa suluhu wanavunja ili victim aendelee kushiriki.