Mume wangu ananipa Kila kitu kasoro kitu kimoja tu. Nishaurini nataka kuvunja hii ndoa

Nyie mapunga ni watu wa ajabu sana. Siku hizi mnaoelewa na mnataka tuwashauri? Hilo jina mtu anaweza dhania ni mwanaume wa maana kumbe mchekea.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu mna nn lakini? Uwiiiiih
 
Kama ndo akili za wanawake walioenda shule zipo hivi basi hili taifa tuna hasara vijana ni bora tutafute wanawake wa ukanda mwingine laa sivyo kataa ndoa watazidi kuongezeka.
 
Ulikula KIAPO KANISANI kuwa utaishi naye kwenye SHIDA NA RAHA ?!
Please nijibu hapo tuu kwanza.
 
Hawa wamama wa 2000 ni tatizo vichwa vyao vinawaza ngono na safari tu
 
Mwenzio napenda shamba soon naenda shamba nikalime
 
sasa miezi nane unataka vunja ndoa mbona mapema sana na sababu kwa kweli haina mashiko..
 
Bado Dunia haijanyoosha pumbavu wewe
 
Mmmh my dear shukuru Mungu umepata mume mnaependana usiangalie hayo mazingira ni swala la muda tu litapita concetrate na maisha unayoishi na mume wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…