Mume wangu ananipa Kila kitu kasoro kitu kimoja tu. Nishaurini nataka kuvunja hii ndoa

Unasumbuliwa na upweke!na unapenda kuishi uswahilini sio!!?

Inaonekana mara nyingi upo peke Yako ye akiwa kazini!!

Halafu Bado unaathiriwa na life la chuo sio!!

Mwambie unamleta mtu was kwenu kama mdogo wako binam ndugu TU update kampani!!

Kama Kuna umeme sometimes cheki movies au series ukiwa mwenyewe!!

Kama Kuna shamba karibu hapo na maji yapo Lima mboga mboga kama nyanya,kunde,mchicha n.k!!

Mwambie akutengenezee Banda la kuku ufuge kuku wa kienyeji yaani ukiamka uwe bize Hadi saa Tano au SITA mchana!! Kama una Tv lipia hata DStv Kuna chanell za movies Kali!!

Anza ufugaji na kulima Bustani jioni mwagilia bustani!!

Life after campus huwa inawasumbua wengi sana!!

Achana na mawazo ya kazi kutafuta tengeneza kazi mwenyewe hapo nyumbani kwako!!!
 
You can do anything but don't play with my mind


Mwambie huyo mwanamke awe makini Sana. Life is not all about materials possession but peace of mind

One bullet
One gun

Take Care
 
Wewe dada ni kenge,
Roma haikujengwa siku moja,sasa MTU Ana kazi, haulali njaa,pipe unapata, unataka ahamie mjini, kwa sababu kijijini hupapendi, na hapajachangamka?!
Maisha, ya ndoa, ni uvumilivu, cha kufsnya my sister, tafuta kazi, hata kama utapata sehemu ya mbali kama mtwara na kagera, au Arusha na songwe,we nenda kazini,mtakuwa mnakutana kupeana raha tu, ukipata kazi, beba mimba,ripoti kituo cha kazi, unachotaka kufanya ni ujinga, yaani uvunje ndoa, kisa hapo unapoishi hapajachangamka?!
Kingine, una uwezo, wa kubana miguu,? Maana ndoa za mbali nazo ni changamoto!
Mi niliweza, nipo mtwara, familia ipo singida,nakuja natia mimba nasepa,mpaka mtoto anazaliwa mi sipo, wife akataka kuleta kelele,jibu moja tu, siwezi kuacha kutafuta pesa eti nije niishi karibu ili nikupe tendo LA ndoa, Bora ndoa ife, ila Mimi na tafuta pesa, alielewa, na ya Mungu mengi,Mambo yakabadirika sasa hv tupo pa moja sio kama zamani kuonekana baada ya, miezi Sita,
Leo Nina watoto wanne,maisha mazuri,matunda ya Mimi kuwa, mbali kipindi hicho, anayaona, huwa,namkumbusha, alipotaka kuondoka kisa nipo mbali,
Ndoa ni uvumilivu, kaa na mwenzio muyajenge, cha kukutoa hapo, iwe umepata kazi tu, sababu zingine, ni upuuzi, ndoa inadumu hatq kama mmoja yupo Mtwara, nanyumbu, mwingine tupo kagera Kyelwa, au Tunduma na mwingine Kisalawe dar,
 
Jamani,mmeo anakupenda.Ndoa ya kuishi mbalimbali si ndoa.Hebu tulia na mmeo,mtie moyo,ajiendeleze kimasomo ipo siku atakuwa kamishna wa polisi.Ma polisi wanaanzia mbali wewe.Wewe binti hebu never take anything for granted. Nakuapia huyo mmeo ipo siku atakuwa boss,ila kuwa boss na kuishi mjini kuna hatua ngumu ni pamoja na kuishi vijijini.
 
Sasa hakupi nini hapo ambacho umesema hakupi.

Ondoka
Toroka
Hata kufuata wala maana anafahamu mahitaji yako ya kuishi sehemu ambayo utakuwa unatokatoka
 
Sio kazi yetu kuanza kufikiria hayo yote. Ajiongeze
 
Wewe hata hueleweki na nyuzi zako mara mwanaume mara mwanamke unajisikiaje kujifanya jinsia fulani wakati sio? Au ndo biashara matangazo Mkuu?
 
Itabidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…