Mume wangu ananipa laki 5 kila mwezi mama anadai hazitoshi nirudiane na x wangu

kwahiyo mama ndo muhasibu
 
Pumbavu kabisa kwa huyo mama, anamfanya mwanae kahaba ili atunze ndugu zake?
 
eti "Changamoto ni kwamba kipato cha mume wangu ni kidogo sana, mshahara wake ni kama milioni 3 hivi. Anaweza kunihudumia, lakini hawezi kuhudumia ndugu zangu"

😀 huo mshahara ni mdogo sana? ebu we tafuta kazi kama utapata 1/3 ya huo mshahara, au nenda kwa huyo mchepuko wako kama atakuwa anaku maintaini kwa 3 M ambayo we unaona ni kiduchu
 
Mimi nakushauri hivi,wanyime hio hela Kwa muda wa miezi 3,anzisha biashara kupitia mtaji wahio laki tano chukua hata vitenge vya kigoma sambaza mwenyewe Kwa utakavyoweza ninauhakika ndani ya miezi michache mtakua n kipato kikubwa cha kuweza fanya mambo makubwa ww na mumeo,then utaanza fikiria mengine,otherwise utakua km unajiuza
 
Huyo demu Hana akili Bado.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…