Kama utaongea naye hakikisha haumwambii ktk hali ambayo itamfanya akose ujasiri kwako kwa hofu.
Kuna mmoja alimwambia mumewe kuwa hajui kufanya mapenzi,halafu siku nyingine akamwambia hamfikishi.
Hilo lilikuwa shida na jamaa alipoteza uwezo na hamu ya kuwa na mkewe. Kuwashauri na kuwarudisha ktk hali ya kawaida ilikuwa shughuli pevu. Pia nawashauri wanawake na wanaume usimfananishe mwenzi wako na yule uliyekuwa naye kipindi hicho au mchepuko ulionao sasa hivi,hili litasababisha mtafaruku kila siku kwa kudai haufikishwi kileleni,au unataka sababu ya kuchepuka?