Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole mwaya!
Ila nikwambie kitu?
Kilele kipo akilini mwako!
Wana Jf ninaombeni ushauri wenu juu ya hili jambo maana nahitaji kuokoa ndoa yangu.
Mimi na mme wangu tumeoana miaka zaidi ya kumi iliyopita lakini kwa kipindi kirefu sasa performance yake kitandani imedorora.
Kila tukiamua kula tunda yeye anawahi kumaliza na kuniacha mimi nikiwa nasumbuka kitandani bila msaada wowote.
Naumia sana je nifanye nini?
Na madawa mnayotumia siku hizi ndio kabisa hamfiki kileleni mpaka baada ya masaa 4.sasa si mtatuua nyie
Sa uliomba ushauri Wa nn kama majib unayo?Huyo atamsaidia mkeo na dada zako.