Mume wangu hanifikishi kileleni : Ushauri

Miaka kumi leo ndo unaomba ushauri? Wewe unahisi utapata jibu hapa? Piga magoti omba sio kila swali lina jibu jf
 
Wana Jf ninaombeni ushauri wenu juu ya hili jambo maana nahitaji kuokoa ndoa yangu. Mimi na mme wangu tumeoana miaka zaidi ya kumi iliyopita lakini kwa kipindi kirefu sasa performance yake kitandani imedorora. Kila tukiamua kula tunda yeye anawahi kumaliza na kuniacha mimi nikiwa nasumbuka kitandani bila msaada wowote. Naumia sana je nifanye nini?

Usitupotezee mda sredi umeandika saa 10 alfajiri huyo m/me wako haupo nae hapo?
 
Miaka kumi leo ndo unaomba ushauri? Wewe unahisi utapata jibu hapa? Piga magoti omba sio kila swali lina jibu jf
sio kila kitu kinatatuliwa na maombi jamen. hata aombe had malaika ashuke. kama hafiki kileleni hafiki tu.
 
Sasa kama ndani ya nyumba hakuna amani wadhanu utafika kweli. Tatizo kwenu wanawake kufika kilele kwahitaji mambo mengi.
 
Muanzishie diet na afanye mazoezi, atarudi kuwa kawaida sasa
 
halafu ukute anayeandika huu uzi ni dume.......ok ok jiandaneni na mjulishe mwenzio, mbona mimi hua siku nikichemsha ninaambiwa kabisa, Baba leo vipi? unajua tu hapo Mama hajaelewa somo, then tunapanga mechi ya marudiano then utaskia akisema "ASANTE"......halafu anaamka anaenda kuandaa maji ya kuoga na chai...............my point is, haya mambo badala ya kukimbilia kuandika kwenye mitandao mueleze mwandani wako tu kuwa mbona leo gari imeishia njiani, atakuelewa, na sisi kuna nyakati tunachoka.

Hebu imagine pressure za kazini, kodi za nyumba, ada za watoto, mambo ya future nakadhalika....nadhani umenielewa ukihitaji maongezi zaidi tuhamie PM
 
kwanza inaonekana hana pumzi, mshaur afanye mazoezi hata nusu saa tu asbh na jion(kuruka kamba ndo nzuri kwa pumzi)
 
ukifika kilele si utaanguka................basi tafuta mtu wa kukudaka ili usiumie ............

au mie nimeelewa sivyo!!!!
 
Wana Jf ninaombeni ushauri wenu juu ya hili jambo maana nahitaji kuokoa ndoa yangu. Mimi na mme wangu tumeoana miaka zaidi ya kumi iliyopita lakini kwa kipindi kirefu sasa performance yake kitandani imedorora. Kila tukiamua kula tunda yeye anawahi kumaliza na kuniacha mimi nikiwa nasumbuka kitandani bila msaada wowote. Naumia sana je nifanye nini?

saa 10 usiku unapost thread hii unaishi nchi gani? kama uko Tanzania basi una serious problem.
 
Wana Jf ninaombeni ushauri wenu juu ya hili jambo maana nahitaji kuokoa ndoa yangu. Mimi na mme wangu tumeoana miaka zaidi ya kumi iliyopita lakini kwa kipindi kirefu sasa performance yake kitandani imedorora. Kila tukiamua kula tunda yeye anawahi kumaliza na kuniacha mimi nikiwa nasumbuka kitandani bila msaada wowote. Naumia sana je nifanye nini?

Pole shosti lakini magoli mengine husaidiwa kufungwa na mkono...
 
Wana Jf ninaombeni ushauri wenu juu ya hili jambo maana nahitaji kuokoa ndoa yangu. Mimi na mme wangu tumeoana miaka zaidi ya kumi iliyopita lakini kwa kipindi kirefu sasa performance yake kitandani imedorora. Kila tukiamua kula tunda yeye anawahi kumaliza na kuniacha mimi nikiwa nasumbuka kitandani bila msaada wowote. Naumia sana je nifanye nini?

anzeni maandalizi kwanza kabla jamaa hajarukia kula mzigo!!
 
Pole sana kwa tatizo,inaonekana jamaa ana mchecheto na pia hafanyi mazoezi kunakopelekea mwili kuwa legelege.My take:usimruhusu kuingia kiwanjani kabla ya kufanya mazoezi ya viungo ikiwezekana mchezee mpaka ateme cheche ili aanzie raundi ya pili,hapo nna uhakika utaomba POO lazima.
 
cha musingi jaribu kuwa mtundu hata wewe mfano, unaweza kumufanyia manuva mapya kama kumutomasa mpaka anamaliza kwanza, then wewe ndo unamuweka kwenye game
 
Kwani chakula cha asubuhi kinaanza kuliwa saa ngapi bro????QUOTE=Matola;9846194]saa 10 usiku unapost thread hii unaishi nchi gani? kama uko Tanzania basi una serious problem.[/QUOTE]
 
Vilele vinatofautiana urefu, cha kwako ni futi ngapi?upana?

Labda kilele chako kimejaa theluji,jaribu kuiyeyusha kwanza labda itasaidia.
 
Wana Jf ninaombeni ushauri wenu juu ya hili jambo maana nahitaji kuokoa ndoa yangu. Mimi na mme wangu tumeoana miaka zaidi ya kumi iliyopita lakini kwa kipindi kirefu sasa performance yake kitandani imedorora. Kila tukiamua kula tunda yeye anawahi kumaliza na kuniacha mimi nikiwa nasumbuka kitandani bila msaada wowote. Naumia sana je nifanye nini?

Ningeuluza anakuandaajr but I think the best QN is unamuandaaje?
 
Wana Jf ninaombeni ushauri wenu juu ya hili jambo maana nahitaji kuokoa ndoa yangu. Mimi na mme wangu tumeoana miaka zaidi ya kumi iliyopita lakini kwa kipindi kirefu sasa performance yake kitandani imedorora. Kila tukiamua kula tunda yeye anawahi kumaliza na kuniacha mimi nikiwa nasumbuka kitandani bila msaada wowote. Naumia sana je nifanye nini?
Ndo maana ya shida na raha hiyo mama.......mbona wakati unakojoa hukuja kutuambia....keshakua wako huyo vumilia mama.....miaka kumi..mbona bado kidogo tu mshafikia uzeeni.
 
Back
Top Bottom