Mume wangu hapendi kula nyumbani

Chunguza kama wewe ni mgomvi inaweza kuchangia yeye kutokula vizuri.
 
Wenye ndoa zenu a.k.a marriage material muwasome waume zenu nini wanapenda kwenye chakula na nini hawapendi. Mtu hapendi michuzi unampikia michuzi...mtu hapendi mate mbele uko busy na mate mbele sasa hapo si unajiloga mwenyewe. Halafu wanawake wa arusha hasa wameru mna midomo sana na sio wabunifu. Jikague na umkague mumeo bi dada
 
Kwani mwanamke kutojua kupika ndiyo licence ya mume kula nje? Ukiona mwanaume anafanya hivi basi ujue ni mshamba fulani. Dunia ya sasa wakati mwingine unakaa na mkeo jikoni mnapika wote. Yale mambo ya mume kutoingia jikoni yamepitwa na wakati.
Acha ulofa mwanaume upike
 
Hata Mimi sili home ,tuko ivyo
 
Misijui aisee watasema hapa wengi hujui kupika au Nini ila niwatu wakaribu ndio watasema kuwa hujui kupika au unamadharau humueshimu au Nini,

Ndoa ya mtu mwingine ni ngumu kumsemea mmbaya. Hadi uishi nao uwajue .

Hujui kaambiwa kuwa unamwekeaga limbwata hukoo njee wanaume wanaenda Kwa waganga
Au mke mdogo anamuwekea akuone mmbaya.

Kama hataki usimpikie jipikie wewe na watoto wako hadi aulizie chakula unahesabu vijiko anavyokula unampa.

Hapa ndio muda wakujiweka sawa yale mambo ya mguu mmoja ndani na mmoja njee .

Ohoo jipangee usije ukatoka hapo ukaishia njee
 
Pole kwa hili. Ila jaribu Siku moja kwenda nae out muagize chakula. Kama akila vizuri pale Basi Kuna tatizo mahali. Labda upishi wako, ndio unaweza kuwa mpishi mzuri Kama unavyosema ila mybe huwa unapikia mafuta mengi mybe hapendi, Jaribu tu kumchunguza Nini anapenda kula na chakula kiweje. Huenda pia Hana appetite ya kula, huenda pia Ni jinsi unavyomsevia chakula hakimvutii, mpangilie chakula chake, usimchanganyie wali na mboga pamoja Jaribu kuwa creative mezani, mpe pia company ya kula, wakati wa kula usilete Mambo ya vikoba au mashitaka ya watoto ongea nae zile soft talk.
 

Mke mwenzio ameshakuzidi kete
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] au kuna ulaji hapooo, ndo maan hataki kutokaa.
Possible kabisaaa anawaza hapoo wee akitoka itakuaje
 
Sio wote za kuambiwa wachanganye na zao huyu Wake kichomi aseehh[emoji38][emoji38]
Itakuwa wako umemkanyaga bina.
Mwanaume yeyote hawezi kuvumilia kufanyiwa hivyo[emoji1787][emoji1787]
Utatuponza wewe[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…