Mume wangu hapendi ndugu zangu

Samahani kama ntakuwa nimekoseaa lakini ukiangalia kwa upande mwingine naona kama tatzo liko kwako...watu wawili wanapokutana na kuamua kuish pamoja kila mtu huwa anakuja na lifestyle ya kutoka kwao alipolelewa lakini ili muweze kuish pamoja inabid kila mmoja ajue ni lyfestyle gan alitoka nayo kwao ambayo mwenzake haipend...inavoonekana mumeo hataki extended family na ww unataka sana kusaidia ndugu..shida ndo iko apo...Mimi nmeoa lkn nishamwambia mke wng kabla ya ndoa kuwa sitaki ndugu yangu au ndugu yako aje kuish kwetu bila msingi maalum...labda aje kwasababu maalum sana na akae kwa kpnd fulan..umesema ndoa haina muda mrf, iko kpnd ndo ilikuwa kpnd chenu cha kujiachia....yaan kulombana mpaka senlen au uani...sasa uwepo wa mdg ako unazuia mambo kama hayo...me binafs sioni sababu ya mdg ako kukaa apo labda kama muna watto useme akusaidie kulea lkn sio kpnd iki ambavho mnatakiwa muwekw bond ww na mumeo...NB wanaume tukokosa penz la mke kwa wakat tunakuwa na visiran sana
 
Aiseee wewe ulikuwa kwny akili yangu aisee....yaani ukiangalia kwa jicho la pili dada kzinguaa...afu sasa wanavojua kulalamika...
 
Yeye mwenyewe kalelewa kwa ndugu tangu ana miaka 17
 
Hugo gu bwana gwako guna roho mbaya sana Sasa kwakuwa unagupenda fanya Jambo moja ambalo ni kumrudisha binti kwenu ili ndoa yenu iwe na amani na Hugo gu bwana guwe sawa hapo maskani yenu
 
Natamani nimrekebishe kipenzi changu kwasababu familia yangu inampenda sana.
yeye hawapendi na ana roho ya kimaskini! Sijui hata huwa hamuoni hizi tabia mwanzo!
Mbona mtu mwenye gubu tu anaonekana hata jinsi anaagiza soda kwenye first date!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…