Cannabis
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 11,557
- 33,535
Mkuu pole unaendeleaje lakini ? maumivu yameacha ?Kuwa na utu tafadhali, kwa hali hii ndio maana sihitaji kuwa verified.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu pole unaendeleaje lakini ? maumivu yameacha ?Kuwa na utu tafadhali, kwa hali hii ndio maana sihitaji kuwa verified.
tabu mko nane mtamchosha!Njoo kwangu ujifiche...
Mke na mume mnafikia hatua ya kukimbizana na rungu. Utafikiri Kingai na Mahita wapo kwenye utekajiNaogopa Sana
Iko hivi Jana tulikua namaongezi na mzee sebulen mpaka saa 6 usiku sababu toka nimetoka nyumban kujifungua ni kama ananikwepa hivi.
Akitoka kazini anipita uwanjan kwenye mazoez mpaka saa 3 usiku akirudi anakaa seblen anaangalia mpira mpaka saa 7 ndio anakuja kulala na gafla ukija seblen unamkuta anachat na simu Sasa Jana nikaamua kumuuliza.
Tukiwa katika maongezi akapigiwa simu hakupokea ikarudia tena akaikata simu ikiwa vibration, Nikamwambia mbona hiyo simu unaikata? Nani anapiga akadai achana na simu bahati mbaya nikampokonya simu akaja juu achana na simu yangu akaninyonga mkono nikamng'ata mkono.
Uwiiii hapo ndio nilipoamsha mashetani sababu alinikimbiza anipige na rungu nikamtoroka nikajifungia chumbani namuomba msamaha hataki kunisikiliza.
Leo nimeamka namuomba msamaha hataki nifanyeje jamani.
Wasiwas wangu anaweza niua maana ana hasira Sana alafu chumban Kuna rungu na sime
Vipi unaendeleaje zimeshanywea?Kuwa na utu tafadhali, kwa hali hii ndio maana sihitaji kuwa verified.
Badala ya kuhofia kuachwa!! Maana dalili zote ziko wazi, wewe bado unawazia vitu ambavyo havipo! Pole sana.Wasiwas wangu kupigwa maana anasema nilivyomuuma nitamtambua na chumban Kuna sime na rungu
Sasa anamuombaje msamaha mtu ambaye alishakuwa amemnunia tokea awali....Muandikie sms ya kumuomba msamaha ukikazia kuwa hautashika tena simu yake (maana hiko ndio anachokitaka)! Lakini kama kuna la ziada analo moyoni akueleze tu!
Si kweli.Kwa ufupi tu huyo hakupendi ashakuchoka kuna mtu kaichukua nafasi yako kwa kipindi kile ambacho haukuwepo mapenzi yamehamia kwa aliyekuwa anamhudumia wakati wewe ukiwa mjamzito.
"...….bali kwa ukuni mbichi wenye ncha butu, kipigo kikichagizwa na kilio kisicho na machozi".mwanaume wa kweli apigi mke kwa rungu
Hata wao wana makubwa zaidi ya hayaMpigie simu rafik yake au mchungj aje awasikilize asuluhishe.
Ila
Thread ifungwe. Huu ndio wenyewe huupati kokote hata kwa Mama ushauri.Pole sana kwa hilo.
Kwanza ondoa hizo silaha rungu na sime chumbani.
Kisha mtumie sms ya kumuomba msamaha kuwa hutorudia kosa lako tena.pia andika ujumbe wa mahaba na heshima.
Kisha mpikie mumeo chakula anachokipenda zaidi.
Akirudi nyumbani hakikisha umekuwa smart mithili ya kuvutiwa na ww.
Mpokee mumeo, muandalie maji yakuoga, mpe chakula anachopenda na mfariji mumeo hakika hasira zitaisha na atakusamehe. Tumia lugha ya upole, sura ya kimahaba na sio uoga.
Siku zote mwanaume anahitaji vitendo vinavyompa yeye heshima kwa mke wake, na mwanamke anahitaji maneno yenye kuakisi mahaba na upendo. Hii ndiyo kanuni.
Kila raheli utanipa mrejesho
Pole mwanaume anatakiwa abembelezwe jamani kama babyNaogopa Sana
Iko hivi Jana tulikua namaongezi na mzee sebulen mpaka saa 6 usiku sababu toka nimetoka nyumban kujifungua ni kama ananikwepa hivi.
Akitoka kazini anipita uwanjan kwenye mazoez mpaka saa 3 usiku akirudi anakaa seblen anaangalia mpira mpaka saa 7 ndio anakuja kulala na gafla ukija seblen unamkuta anachat na simu Sasa Jana nikaamua kumuuliza.
Tukiwa katika maongezi akapigiwa simu hakupokea ikarudia tena akaikata simu ikiwa vibration, Nikamwambia mbona hiyo simu unaikata? Nani anapiga akadai achana na simu bahati mbaya nikampokonya simu akaja juu achana na simu yangu akaninyonga mkono nikamng'ata mkono.
Uwiiii hapo ndio nilipoamsha mashetani sababu alinikimbiza anipige na rungu nikamtoroka nikajifungia chumbani namuomba msamaha hataki kunisikiliza.
Leo nimeamka namuomba msamaha hataki nifanyeje jamani.
Wasiwas wangu anaweza niua maana ana hasira Sana alafu chumban Kuna rungu na sime
Mwanaume anatakiwa aombwe msamaha kwa utulivu sanaNaogopa Sana

Toa hilo rungu na sime ndaniNaogopa Sana