Mume wangu hataki msamaha wangu

Mke na mume mnafikia hatua ya kukimbizana na rungu. Utafikiri Kingai na Mahita wapo kwenye utekaji
 
Wasiwas wangu kupigwa maana anasema nilivyomuuma nitamtambua na chumban Kuna sime na rungu
Badala ya kuhofia kuachwa!! Maana dalili zote ziko wazi, wewe bado unawazia vitu ambavyo havipo! Pole sana.

Pambania ndoa/nyumba yako kabla mambo hayaja haribika kabisa. Tafuta suluhu mapema iwezekanavyo. Kuna mwenzako ameshachukua nafasi yako kitambo.
 
Mmmmmmhmn sasa why unahangaika na mzima ambae ameamua tu kwa utashi wake kukununia na akijua wazi wewe ni mkewe wa ndoa?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa ufupi tu huyo hakupendi ashakuchoka kuna mtu kaichukua nafasi yako kwa kipindi kile ambacho haukuwepo mapenzi yamehamia kwa aliyekuwa anamhudumia wakati wewe ukiwa mjamzito.
Si kweli.

Huyo analinda ndoa yake isiharibike kwa makosa ambayo amefanya. Mwanamke asitake kujua zaidi. Mengine yaliyotokea wakati hayupo ayaache. Amuombe msamaha wasonge mbele.
 
ficha rungu, then shika sime mkono wa kulia

fungua mlango kwa mkono wa kushoto then sikilizia
 
Thread ifungwe. Huu ndio wenyewe huupati kokote hata kwa Mama ushauri.

Kitendo cha kupoka simu yake kilijenga picha ya mapambano. Na siku zote wanaume hutarajia kushinda tu. Ndio anaandaa mazingira kukuonesha yeye ni zaidi yako. Epusha shali. Mpe ushindi, maisha yasonge mtoto akue.

Pia KAZI iendelee! Km arobaini tayari.

Kule hakuna chuki wala hasira
 
Pole mwanaume anatakiwa abembelezwe jamani kama baby

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanaume anatakiwa aombwe msamaha kwa utulivu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa hilo rungu na sime ndani
 
Kosa lako ni lipi hapo? Udhaifu wako ndio kuteseka kwako.
Umeisha jiuliza kwann alikuwa ataki ushike simu yake?
Je zaman ulikuwa una uhuru wa kushika simu yake?
Kwann akirudi usiku anafikia sebren na kuanza kuchat had saa 7 usiku?
Had hio saa 7 usiku anakuwa anachat nini na nan?
Kwann hiyo hali imejitokeza baada ya ww kwenda kwenu kujifungua?
Je zaman alikuwa hvyo?

Wewe umia tu hapo kumbe sahv mwenzio yupo anapozwa huko ulipo mng'ata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…