Mume wangu hataki msamaha wangu

Huyo anamchepuko kaupangia chumba sehemu we muda huo unajua Yuko uwanjani ndio muda anakuwa kwa nyumba ndogo ndio maana akirudi hujikeep busy kuendeleza stori na mchepuko wake.cha kufanya muombe Mungu akupe ujasiri na nguvu na akuondolee hasira za karibu Lea mtoto wako vizuri huyo ndio muhimu zaidi kwako,jiweke smart muda wote hata km unaenda ni gengeni tu kununua nyanya jioni jipendezeshe dada, target muda anarudi kutoka kazini hiyo saa tatu jipodoe vaa nguo Safi akija akukukute km vile ndio umetoka sehemu unarudi muda mwingine anaweza kukuuliza umetoka wapi?mjibu tu sijatoka sehemu fanya hivyo kila siku uone km hajawahi kurudi kupiga anaona rahisi Ila kuhisi mtu unapigiwa ni maumivu sn
 
Pole muombe msamaha maisha yaendelee, mwambie "mume wangu sikukusudia kukung'ata nikuumize nimikuwa natania tu"
 
sasa simu yake ya mkononi inakuhusu nini aisee. Tujifunze kuheshimu faragha za watu kwa kweli
 
1. Mumeo anakupenda.
2. Kipindi haupo yaani ulipoenda kujifungua huenda alikuwa na mchepuko.
3. Yawezekana yupo kwenye wakat mgumu ku-balance mahusiano ya ndoa na mchepuko.
4. Ukali alioutumia ni kutaka usijue kabisa kuhusu mawasiliano yake.

5. Muombe msamaha Kisha kaa zako kimya, Wala usiliongelee Tena Hilo swala. Acha miezi izidi kwenda.

6. Siku zote unapomuacha sebuleni usisahau kumwambia unampenda. Sisi wanaume tukichepuka huwa dhamira inatusuta hasa tukifikiria kuhusu jinsi wife anavyojali na kunipenda. All the Best..!
 
Wasiwas wangu kupigwa maana anasema nilivyomuuma nitamtambua na chumban Kuna sime na rungu
kwanini umuume mume wako nasema upigwe tu na utapigwa na hilo sime na rungu mpaka akili ikukae sawasawa
 
Sasa unamlazimisha nini kuchukua sinu yake,we mwache tu,atajiregulaye mwenyewe

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Siri moja ya wanaume wanaochepuka ni kuwa na hasira bila sababu ya msingi!! Nakupa za ndani kabisaa!!! Mchunguze.
Ni kweli

IPO hivi,mdogoangu alimfumania mumewe chumba cha pili wanapoishi,yule shemeji si akamtembezea kichapo cha mbwa koko mdogoangu,eti kamdhalilisha kwanini kapiga kelele[emoji16]
 
Kuwa na utu tafadhali, kwa hali hii ndio maana sihitaji kuwa verified.
Mkuu tangu mkeo amekuminya tukengele umekuwa na tuhasira hasira sana mkuu.

Unamaindi maindi sana

πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…