miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,411
- 11,025
Anaomba msamaha wa nini?????????He is cheating on u honey. Hana lolote. He is the type of man i have been seeing[emoji23][emoji23] they will go for excuses kama hivi na visababu vya kipumbavu. Yaan kiufupi ako ktk penzi jipya. Sitakushauri uondoke ila kwa akili zangu[emoji23][emoji23][emoji23] naomba acha kuapologise. Hujakosea lolote ni umalaya wake tu. Na amemziesha vibya mchepuko anapiga mpk late nights? Kiboko. Hakuheshimu huyo. Maybe pia anajua ana mke ama pengine ameaminishwa hana. Kazi kwako. Dawa ni kuwa na hela zako tu hata ukiondoka una maisha yako huttegemea kurudi kwkua umeshakwama kimaisha. Ifike mahali tuheshimiane
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Hamisha hizo silahaWasiwas wangu kupigwa maana anasema nilivyomuuma nitamtambua na chumban Kuna sime na rungu
Mmmmh unajua wengine wanakutafutia sababu tu,sijaona kosa la huyo dada la kusitahili kuomba msamaha
kuchunguza simu ya mumewe si kosa, maana mlinzi wa mume na ndoa kiujumla ni yeye
ninachokiona hapa, huyo jamaa yake ameshikwa masikio na mchepuko huko nje na hii ni kawaida kwa sisi wanaume!
wanaume hua tunakawaaida ya kujisahau tukiwa na kitu, ila kitu hicho kikiondoka hua tunajuta sana
ndio maana namshauri aondoke, na nina uhakikka atafatwa kwa magoti.
Chumbani kuna rungu na sime, kwani uliolewa na muwindaji?Naogopa Sana
Iko hivi Jana tulikua namaongezi na mzee sebulen mpaka saa 6 usiku sababu toka nimetoka nyumban kujifungua ni kama ananikwepa hivi.
Akitoka kazini anipita uwanjan kwenye mazoez mpaka saa 3 usiku akirudi anakaa seblen anaangalia mpira mpaka saa 7 ndio anakuja kulala na gafla ukija seblen unamkuta anachat na simu Sasa Jana nikaamua kumuuliza.
Tukiwa katika maongezi akapigiwa simu hakupokea ikarudia tena akaikata simu ikiwa vibration, Nikamwambia mbona hiyo simu unaikata? Nani anapiga akadai achana na simu bahati mbaya nikampokonya simu akaja juu achana na simu yangu akaninyonga mkono nikamng'ata mkono.
Uwiiii hapo ndio nilipoamsha mashetani sababu alinikimbiza anipige na rungu nikamtoroka nikajifungia chumbani namuomba msamaha hataki kunisikiliza.
Leo nimeamka namuomba msamaha hataki nifanyeje jamani.
Wasiwas wangu anaweza niua maana ana hasira Sana alafu chumban Kuna rungu na sime
Wewe umeona nini kwani? Acha shoboAnaomba msamaha wa nini?????????
Fungua dirisha, vitupe njeNaogopa Sana