Mume wangu hataki msamaha wangu

Mume wangu hataki msamaha wangu

He is cheating on u honey. Hana lolote. He is the type of man i have been seeing[emoji23][emoji23] they will go for excuses kama hivi na visababu vya kipumbavu. Yaan kiufupi ako ktk penzi jipya. Sitakushauri uondoke ila kwa akili zangu[emoji23][emoji23][emoji23] naomba acha kuapologise. Hujakosea lolote ni umalaya wake tu. Na amemziesha vibya mchepuko anapiga mpk late nights? Kiboko. Hakuheshimu huyo. Maybe pia anajua ana mke ama pengine ameaminishwa hana. Kazi kwako. Dawa ni kuwa na hela zako tu hata ukiondoka una maisha yako huttegemea kurudi kwkua umeshakwama kimaisha. Ifike mahali tuheshimiane

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Umeomba msamaha wa nini?

Its obvious anachepuka na mchepuko unampelekesha

Sasa cha kuomba msamaha ni nini?????

Ili akugeuzie kesi?
 
He is cheating on u honey. Hana lolote. He is the type of man i have been seeing[emoji23][emoji23] they will go for excuses kama hivi na visababu vya kipumbavu. Yaan kiufupi ako ktk penzi jipya. Sitakushauri uondoke ila kwa akili zangu[emoji23][emoji23][emoji23] naomba acha kuapologise. Hujakosea lolote ni umalaya wake tu. Na amemziesha vibya mchepuko anapiga mpk late nights? Kiboko. Hakuheshimu huyo. Maybe pia anajua ana mke ama pengine ameaminishwa hana. Kazi kwako. Dawa ni kuwa na hela zako tu hata ukiondoka una maisha yako huttegemea kurudi kwkua umeshakwama kimaisha. Ifike mahali tuheshimiane

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Anaomba msamaha wa nini?????????
 
Wasiwas wangu kupigwa maana anasema nilivyomuuma nitamtambua na chumban Kuna sime na rungu
Hamisha hizo silaha
Zifiche..
Yeye wala usimsemeshe mwache
Endelea na yako ankiwa na muda nawe atakucheki
 
Huyo anaficha uchafu wake, anajihami ili usijue uchafu wake ana hawara huyo mchepuko wake ndiyo unamkarisha hapo sebuleni hana lolote, hilo sime na rungu hamisha [emoji3][emoji3] kuwa mpole utajua kinachomkarisha hapo kwenye runinga
 
sijaona kosa la huyo dada la kusitahili kuomba msamaha

kuchunguza simu ya mumewe si kosa, maana mlinzi wa mume na ndoa kiujumla ni yeye

ninachokiona hapa, huyo jamaa yake ameshikwa masikio na mchepuko huko nje na hii ni kawaida kwa sisi wanaume!

wanaume hua tunakawaaida ya kujisahau tukiwa na kitu, ila kitu hicho kikiondoka hua tunajuta sana

ndio maana namshauri aondoke, na nina uhakikka atafatwa kwa magoti.
Mmmmh unajua wengine wanakutafutia sababu tu,
 
Naogopa Sana

Iko hivi Jana tulikua namaongezi na mzee sebulen mpaka saa 6 usiku sababu toka nimetoka nyumban kujifungua ni kama ananikwepa hivi.

Akitoka kazini anipita uwanjan kwenye mazoez mpaka saa 3 usiku akirudi anakaa seblen anaangalia mpira mpaka saa 7 ndio anakuja kulala na gafla ukija seblen unamkuta anachat na simu Sasa Jana nikaamua kumuuliza.

Tukiwa katika maongezi akapigiwa simu hakupokea ikarudia tena akaikata simu ikiwa vibration, Nikamwambia mbona hiyo simu unaikata? Nani anapiga akadai achana na simu bahati mbaya nikampokonya simu akaja juu achana na simu yangu akaninyonga mkono nikamng'ata mkono.

Uwiiii hapo ndio nilipoamsha mashetani sababu alinikimbiza anipige na rungu nikamtoroka nikajifungia chumbani namuomba msamaha hataki kunisikiliza.

Leo nimeamka namuomba msamaha hataki nifanyeje jamani.
Wasiwas wangu anaweza niua maana ana hasira Sana alafu chumban Kuna rungu na sime
Chumbani kuna rungu na sime, kwani uliolewa na muwindaji?
 
Pole sana ila dada umepitia mambo mengi sana. Nikushauri tu kwa sasa funga sana na kusali.yote uliyopitia katika safari yako ya maisha ni funzo tosha. Ukipata muda nitafute
 
Ninejaribu kupitia threads zako nimeona kuwa unampenda Sana mmeo Ila yeye hajui thamani ya penzi lako kwake,pole Sana , Allah akusaidie ili huyu mmeo ajue kuwa unampenda na kumthamini

Ushauri wangu
Omba msamaha hii itaonyesha umekomaa pia ni fursa atajishtukia.
Ongeza ibada na kuvaa vema. Ili matamanio yake yarudi kwako.
Mpe muda wa kuwa nae karibu. Kuliko zamani.
Kimsingi kosa lako ni kudhuru mwili na linasababishwa na wewe kutak kupora ambayo kisheria simu si yako mtapoteza muda badala ya kupambana na mambo ya msingi ya maisha.
Kila ndoa ni tofauti usiuchochee moto bali uzime kwa busara.
Asume ungekuwa km umempiga na. kitu kigumu akafa au kupooza unadhani jamhuri,jamii na ndugu wa mume watakuacha salama.
Ondoa siraha ndani hasa sehem ambazo ameziweka. Amisha sehem nyingine ndani ya nyumba.
Usiende kwenu au kwa wazaz kulipeleka unalikuza madhara yake anaweza kuwa kibuli km mbogo alieyejeruliwa asisikilize la mtu na akiwa halali home kabisa na akaanza tabia ya kuwaamin marafiki kuliko ww na familia kwa ujumla . Tafuta muda ikiwezekana mtoke nje ya usual.places niombe mkaongee tena uombe msamaha naamini km mwanaume atakubali ila moyoni atajirekebisha na kuongeza upendo kwako nje ya hapo ukitumia nguvu atataka utii kwa nguvu mtakuwa mnachunguzana kwa kukamiana km askari wanaolinda bohari ya siraha
 
Hangaika na maisha yako yuko busy na michepuko yake
Ukiacha kumfuatilia ataanza kukufuatilia wewe!
 
Naogopa Sana

Iko hivi Jana tulikua namaongezi na mzee sebulen mpaka saa 6 usiku sababu toka nimetoka nyumban kujifungua ni kama ananikwepa hivi.

Akitoka kazini anipita uwanjan kwenye mazoez mpaka saa 3 usiku akirudi anakaa seblen anaangalia mpira mpaka saa 7 ndio anakuja kulala na gafla ukija seblen unamkuta anachat na simu Sasa Jana nikaamua kumuuliza.

Tukiwa katika maongezi akapigiwa simu hakupokea ikarudia tena akaikata simu ikiwa vibration, Nikamwambia mbona hiyo simu unaikata? Nani anapiga akadai achana na simu bahati mbaya nikampokonya simu akaja juu achana na simu yangu akaninyonga mkono nikamng'ata mkono.

Uwiiii hapo ndio nilipoamsha mashetani sababu alinikimbiza anipige na rungu nikamtoroka nikajifungia chumbani namuomba msamaha hataki kunisikiliza.

Leo nimeamka namuomba msamaha hataki nifanyeje jamani.
Wasiwas wangu anaweza niua maana ana hasira Sana alafu chumban Kuna rungu na sime
Fungua dirisha, vitupe nje
 
Kumbe we wamwanza? Sasa hilo lijamaa ulilitoa wapi sister. Kwa kifupi hapo umeuziwa mbwa kwenye gunia ukijua ni mbuzi pole sana
 
pole sana! kuna kitu kimebadilika kwako hasa kimwonekano, kubali hiki kwanza, chukua simu yako mwandikie txt akiwa kazini 'mume wangu pole kwa yaliyotokea, nisamehe mume wangu, nafsi yangu inakosa amani, nihurumie mwenzio, sitarudia tena, ni wivu wa kijinga uliniponza'
.
.
ukimaliza badilisha mtazamo fanya care sana akirudi akute msosi anaoupenda. maji ya kuoga hivyo! usijirahisishe kingono mpaka yeye mwenyewe,
.
.
baada ya hayo sasa anza mbinu zingine za kijasusi, vita vya kupindua meza kibabe, huyo jamaa kuna manzi mdogo mdogo anamsumbua, kwa sababu ni mtu wa mazoez ametekwa, jitahidi sana kuuweka mwili fit, anza na diet akiondoka unapiga hasa mazoez, ruka kamba humo ndani vaa tight na raba yaan nyama zikaze haswa, kula matunda na maji mengi, piga pushups, jasho litoke, fanya kwa hasira sana, pendelea urembo wa asili, fanya usafi hasaaa... ndani pawe safii mno,
.
.
kila baada ya week jipe challenj ya kupunguza hata kilo mbili hivi.. yan showshow!
.
.
mama hakuna mchawi asubuhi mapema kabla watu hawajatoa sadaka ushapindua meza, kila siku atataka out na wewe, si unavutia!! uzazi hua unabadilisha sana mwonekano, kwa wanaume ambao hawajapenda hua wanachepuka sana baada ya uzazi, pole sana na kila la kheri!!
 
Back
Top Bottom