badshah Member Joined Mar 16, 2013 Posts 51 Reaction score 33 May 3, 2013 #1 Ndani ya nyumba moja hivi mtaa fulani yalisikika mazungumzo ya wanandoa wawili na mazungumzo yao yakawa kama ifuatavyo: Mke: Eh Mume wangu naona siku hizi umekuwa msanii, haya hebu niambie unachora nini hapo. Mume: Nachora picha ya Mungu. Mke: Nini?!! Lakini si hakuna hata mtu mmoja anayemjua mungu? Mume: watamjua tu nikimaliza kuchora hapa!! Mke: mmh Mume wangu si Bure utakuwa umerogwa wewe!! Staryte - Elimu, Burudani na Maendeleo
Ndani ya nyumba moja hivi mtaa fulani yalisikika mazungumzo ya wanandoa wawili na mazungumzo yao yakawa kama ifuatavyo: Mke: Eh Mume wangu naona siku hizi umekuwa msanii, haya hebu niambie unachora nini hapo. Mume: Nachora picha ya Mungu. Mke: Nini?!! Lakini si hakuna hata mtu mmoja anayemjua mungu? Mume: watamjua tu nikimaliza kuchora hapa!! Mke: mmh Mume wangu si Bure utakuwa umerogwa wewe!! Staryte - Elimu, Burudani na Maendeleo