Mume wangu mtarajiwa ni mwanaume katili

Status
Not open for further replies.
Wewe unalea watoto unajua mama yao alikimbia Nini? Mtu huongea ukweli akiwa katika Hali ya hasira au utani. Alichokisema akiwa na hasira ndio uhalisia lakini waweza kumbadilisha taratibu mpaka akawa Kama mchungaji.
 
huyo atakuja kukuua. ni mkatili kwa asili. mimi watoto huwa napiga, ila nikimpiga nikaona nimezidisha kidogo, huwa namwita namwomba msamaha anisamehe kwasababu nilikasirika, alinikasirisha sana. hata hivyo, nikimpiga moyo huwa unaniumaaa, huwa sihitaji kabisa mtoto wangu aumie moyo hasa kwasababu yangu. kitendo alichofanya huyo jamaa mimi naweza kiukifanya bila kutarajia nikimkuta mtu yeyote anamdhuru mtoto wangu. hata shule nikikuta mwalimu anampiga mwanangu awe makini, nawezamdhalilisha mbele ya wanafunzi wake na mtoto nitahamisha. watoto wapo moyoni mwangu na pamoja na kwamba hatutakiwi kuwanyima fimbo, ila tufanye kwa upando.
 
Naona unataka kuvunja record ya kudate na Wanaume wawili ndani ya muda mfupi.

Yule wa JF mliachana baada ya mwezi mmoja wa kudate na huyu mpya unataka kumwacha ndani ya wiki 2.

Hata kama lengo la mahusiano ni kuongeza uzoefu, lakini hii yako ni too much 🙌
 

Pole…..!!
Kweli katili kwa hili Nipashe uliloshusha shemeji inatakiwa aunganishwe kwenye mkataba wa bandari akawe mtumwa, sasa itakuwaje yule mlokole uliyeniahidi kuniunganishia jamani
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…