Mume wangu, nimechoka kukusubiri

Nasu, Aaah aaab aaah wa Dodoma kazi mnayo maana fursa za bure hizoo[emoji91][emoji91][emoji91]
 
Mbona kimya na mrejesho hakuna au ndiyo umepata mtu akaongeza idadi ya watu waliolala na wewe akasepa?
 
Nasu, Mbona niko hapa. Nafanya kazi ya ulinzi, unanipita tu hapa nimekaa kama hunioni.
 
 
Nataka nikustiri usiendelee kuhangaika, njoo ue mke wa pili
Ninaamini tukiwa watatu tukaunganisha nguvu basi tutafanikiwa katika maisha haya. Njoo usichelewe
 
Nipo mke wangu! Sema heka heka za Maisha zilituweka mbali mbali. Ujumbe wako nimeupata japo kwa kuchelewa. Lakini kwa vile Mimi ndo mume wako halali, niliyetengwa na anayetenga kwa ajili yako! Basi naamini hakuna lililoharibika. Njoo unipokee PM tafadhali mke wangu, nimeshafika na mabegi yapo mlangoni.

Kama alishajitokeza wa uongo mfiche hata jikoni nikishaingia chumbani utamtoa nje wala sitajali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  1. Tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara
  2. Kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi
 
Kama Ni kweli, Jah akupe haja Ya moyo wako kupitia humuhumu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mfuate hukohuko, labda kanaswa njiani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…