Yani hawajui thamani ya mama tu, Sepenga ni kama keshajikatia tamaa tu, kabaki kujiita Tanzania sweetheart nothing else, na kujutia mimba ya Kanumba aliyoi flash.Wanavyokana watoto wao hua wanajisahau sana, hawakumbuki kuna wengine hawana uwezo wa kupata hata huyo mtoto mmoja. Kama kina Sepenga
Hawajui tu thamani ya mama, Sepenga ni kama keshajikatia tamaa tu, kabaki kujiita Tanzania sweetheart nothing else, na kujutia mimba ya Kanumba aliyoi flash.Wanavyokana watoto wao hua wanajisahau sana, hawakumbuki kuna wengine hawana uwezo wa kupata hata huyo mtoto mmoja. Kama kina Sepenga
Tumeshamtengea moto wake speshoIla uyu dada atachomwa vibaya sana ivi kwanini anautani na mungu kiasi ichi uyu