Ketoka
JF-Expert Member
- Sep 23, 2015
- 1,117
- 1,966
Baada ya tuhuma nzito ya kutelekeza mtoto Munah Love ameamua kumfuata Mwanae BRYAN akiwa ameambatana na Masanja!
Hii imekuja baada ya mwanadada huyo kushambuliwa na mashabiki zake kuwa anayoyafanya ayampendezi mungu ikiwa kama yeye ameamua kuokoka.
Basi kupitia ukrasa wake wa instagram muna Love aliweka video ikimuonyesha yeye akiwa na masanja wakiwa kwenye ndege huku akijiita mama Brayan na kusema kuwa wapo njiani kuelekea kumchukuwa mtoto wake huyo anayedaiwa amemtelekeza