Muna alitaka kutuwastara, Mange kimambi nae kaumbuka kwa ubuyu feki

Kuna ofisi nyeti nno leo nimeingia (jina kapuni) kuna mdada akawa yupo busy sana na simu nikadhani labda ni sms ya muhimu anajibu.
Baada ya kuiweka simu chini nikaona yupo Ig.
Nina uhakika ni huu ushuzi alikua akiufuatilia.
Wakenya wakichukua kazi zao wanalalamika
 
mkuu hivi mnawezaje kuyachimba mambo ya watu hivyo[emoji23]
Hongera
 
Halafu watoto wa kiume
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16]
mkuu kwani kufanya research ya jambo flani na kuweka hapa ni kukoswa kazi? vp km leo ni wikendi yangu? mm sio mtu mzuri tusikwazane tukaanza kudeal on each other brand ID maalumu kwa ajili ya kukimbiza jf watu km nyie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…