Muna alitaka kutuwastara, Mange kimambi nae kaumbuka kwa ubuyu feki

Muna alitaka kutuwastara, Mange kimambi nae kaumbuka kwa ubuyu feki

Halafu tukiambiwa na Wazungu kwamba Sisi Waafrika ni Minyani Misokwe Mingedere tunakasirika na kununa kabisa.
 
Mambo ya kipumbav kama haya ya watu wa tanzania sitaki kuyaskia tena. Msiba umekuwa kiki kama aliyekufa ni kigogo fulani, huu ni upumbav katoto kale kanawawesekea watu wote.

Pumbavu sana Tanzania

Ningekuwa hacker ningezima inst Tz.
 
Msiba wa mtu ,wanaohangaika nao wala hauwahusu,hivi hakuna cha kufanya zaidi ya kufuatilia msiba?
 
Ni wakati muhafaka sasa kwa TCRA kumaxmize data bandwidth kwa mitandao ya Instagram na Facebook maana imewafanya watu wawe mazezeta.
Ili mtu akichungulia tuu dakika tatu hata kama ana GB20 zinakaa.

Huu Ni wakati muHafaka na Wewe ukajifunze kiswahili
 
Ndiyo maana juzi kina msekwa walikuwa wanatoa maoni ya kijinga kwasababu wanajua wajinga ni wengi sana nchi hii.

I am still wondering...Demokrasia mana yake nini. Uhuru WA mtu Uko wapi , nani mjinga sifa zake je. Najiuliza wakitaja wajinga wewe Utakosa. Wakiongeza Wanafiki wewe utakosa. Wakijazia wenye kuongozwa bila utashi We utakosa. Tell us about MBOWE. DEMOKRASIA NA SERA.
 
Back
Top Bottom