tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Wachaga huwa hawatupi damu zao ila kwahili jambo angemuachia mwanae,huyo mama analake jambo ila kajivua nguo n kuonyesha tabia zke vizuri,mwanamke mfupi huwa ni tabu kuishi naoIla baba wa mtoto ni mstaarabu sana ingekua hawa wengine pangechimbika.....sasa ndio naamini kwa nini watu wanachinjwa kwa hizi drama za muna mwanaume kama hauna hofu ya Mungu unaweza mkata kichwa hakya nani
Mangi ni mstarabu ingekua mangi mwingine pangechimbika plus kibano kinatembezwa hilo kanisa la walokole matapelimangi na yeye anataka kumkomoa Muna.
Muna mungu anakuonaDrama zinaendelea, taarifa kutoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere ni kwamba mwanadada Muna amewasili kutoka nchini Kenya lakini tofauti na matarajio ya waombolezaji waliokuwa wakisubiri mwili wa marehemu mwanaye, Patrick, Muna amekuja jinsi alivyo.
Taarifa za ndani zinaeleza kwamba kumbe mwili ulishawasili Bongo kimyakimya tangu jana usiku na mpaka sasa upo hospitali umehifadhiwa. Lengo lake ni kama alivyoeleza awali, kwamba anataka yeye ndiyo asimamie msiba wa mwanaye na amzike kama atakavyoamua mwenyewe.
======
TAHARUKI imezuka kwa ndugu, jamaa na marafiki waliofika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere Jijini Dar es Salaam baada ya mwili wa mtoto Patrick kudaiwa kuchukuliwa na watu wasiojulikana muda mfupi baada ya kuwasili uwanjani hapo leo.
Michango michango michango...nimeona Leo shemeji wa Muna anatoa namba almost tatu hivi za kuchangia nikasema loooh![emoji5] [emoji2] [emoji3] [emoji3] [emoji4] yamekua haya tenaHuyo mangi itakua nae anashida zke mtu anasema mtoto sio wko,bdo unalumbana nae mwachie msiba wke apambane nao ...huyo mwanamke huo msiba anasiri nao
Huyo dada hana uchungu wa kufiwa angekua n uchungu asingefanya haya yote,akili alizobaki nazo ni kutembea na marioo tuMichango michango michango...nimeona Leo shemeji wa Muna anatoa namba almost tatu hivi za kuchangia nikasema loooh![emoji5] [emoji2] [emoji3] [emoji3] [emoji4] yamekua haya tena
Msiba umekua kitega uchumi!
Yaani hawa wazazi wote mi siwaelewi ujueHuyo dada hana uchungu wa kufiwa angekua n uchungu asingefanya haya yote,akili alizobaki nazo ni kutembea na marioo tu
[emoji3] [emoji4] [emoji3] [emoji3] [emoji4] [emoji2] [emoji2] [emoji2] rafiki wanawake wafupi watakumezaWachaga huwa hawatupi damu zao ila kwahili jambo angemuachia mwanae,huyo mama analake jambo ila kajivua nguo n kuonyesha tabia zke vizuri,mwanamke mfupi huwa ni tabu kuishi nao
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] hapo wana battle mangi vs msaniiMangi ni mstarabu ingekua mangi mwingine pangechimbika plus kibano kinatembezwa hilo kanisa la walokole matapeli
fikra potofuNi maelekezo ya mganga.
Huyu dada inawezekana alimuua mwanae
Marehemu ni mtoto wa mangi chuwa,kma sio wake kwanini huyo mbilikimo alikua anaomba pesa za matibabu,nyie dada zenu hawa marioo hawajui hata bei ya kijiko wao ni free p tu.Yaani hawa wazazi wote mi siwaelewi ujue
Hivi msiba unaufanya drama hivi jamani[emoji3] [emoji3] [emoji3] kama hawana wazazi
Muna nae mjanja mjanja sana
Acha jazba, hahahahahahhaWw kama hao.. Akili za tongwa..
Nliambiwa na baba yangu mwanamke au mwanaume mfupi akichumbia au kuchumbiwa kwenu mfukuzeni,akasema huwa wakorofi,wajuaji,kiburi type hizo[emoji3] [emoji4] [emoji3] [emoji3] [emoji4] [emoji2] [emoji2] [emoji2] rafiki wanawake wafupi watakumeza
Ila daah!shida kweli akili hawana ila wanakosa hekima kweli!
Acha jazba, hahahahahahha
Hajielewi muna sijui hata ana niniMarehemu ni mtoto wa mangi chuwa,kma sio wake kwanini huyo mbilikimo alikua anaomba pesa za matibabu,nyie dada zenu hawa marioo hawajui hata bei ya kijiko wao ni free p tu.
Mshaurini mwenzenu mangi akienda mahakamani anashinda case n kuzika mtoto tena kwao moshi
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Nliambiwa na baba yangu mwanamke au mwanaume mfupi akichumbia au kuchumbiwa kwenu mfukuzeni,akasema huwa wakorofi,wajuaji,kiburi type hizo
HuyuHuyo muna ndo anafananaje?
Wekeni hata picha basi tumjue maana anaonekana ni mtu wa ajabu kupita maelezo.