Muna ametua Airport bila maiti ya mwanaye

Muna ametua Airport bila maiti ya mwanaye

Huyo ndio Muna kwa wale mnaosema hamumjui
20180706_153052.jpg
20180706_153035.jpg
 
Mkuu kafara apate pesa?atakua na akili za lemutuz unaweza kukuta ndio mbegu yko ya mwisho ya uzazi usipate watoto tena
Kwani ana shida ya mtoto? Angekuwa na shida ya mtoto asingemrusha umri kutoka kucheza kombolela na watoto wenzake mpaka kuwa kama Pdiddy.

Kwanza mimi picha zilianza kusambaa nduo nimemjuwa nikadhani ni mtu mzima kama Demonte au wale Wanigeria Aki na Ukwa ila ana umbo la kitoto, kumbe ni mtoto kweli tena wa miaka 7 halafu unaambiwa ana followers laki mbili uko Instagram.

Kama mlikuwa mnadhani Shetani ni dubwasha fulani la kutisha mnajidanganya, muangaliebi tu Muna huyo ni shetani halisi 100%.
 
Hakuna wokovu hapo...kwanza kama kweli aliokoka na anajua kwamba yule jamaa sio baba mzazi wa huyo mtoto, alitakiwa atubu na kumwomba msamaha yule Mangi kwa kile kilichotokea badala yake Mtumishi wa Bwana anaendelea kuvuna ela tu na kumhadaa jamaa kwamba ni mtoto wake mpaka hapo mwishoni amepewa 2 million za nauli ya ndege ajabu amepanda Bus mpaka Nairobi na bado anamlipia ada (vijamaa vinavyoitwa baba vyenyewe ni kumpost mtoto tu ndio kazi inayojua na kugharamia kula bata tu)
Wakovu najua hamna yule ni mdangaji kma kawaida,hao marioo wake hawana kitu zaidi ya kuuza sura nae tu
 
Drama zinaendelea, taarifa kutoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere ni kwamba mwanadada Muna amewasili kutoka nchini Kenya lakini tofauti na matarajio ya waombolezaji waliokuwa wakisubiri mwili wa marehemu mwanaye, Patrick, Muna amekuja jinsi alivyo.

Taarifa za ndani zinaeleza kwamba kumbe mwili ulishawasili Bongo kimyakimya tangu jana usiku na mpaka sasa upo hospitali umehifadhiwa. Lengo lake ni kama alivyoeleza awali, kwamba anataka yeye ndiyo asimamie msiba wa mwanaye na amzike kama atakavyoamua mwenyewe.

======

TAHARUKI imezuka kwa ndugu, jamaa na marafiki waliofika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere Jijini Dar es Salaam baada ya mwili wa mtoto Patrick kudaiwa kuchukuliwa na watu wasiojulikana muda mfupi baada ya kuwasili uwanjani hapo leo.
Hizi Kiki Nomaa
 
bebe na ww unafuatiliaga udaku kumbe[emoji23] [emoji23]
Bebe huu udaku hata nmeshindwa
Kuukosa maana spo hata ista lkn
Huko kwenye blogs ndo umejaa
 
Bebe huu udaku hata nmeshindwa
Kuukosa maana spo hata ista lkn
Huko kwenye blogs ndo umejaa
[emoji3] [emoji3] [emoji3] kila kona

waandishi wamepata habari za wiki
 
seriously atakua mwendawazimu amtoe mtoyo huyo huyo mmoja kisa pesa....jaman tusimuwazie mtu ubaya ukweli anaujua ye mwenyew
Hajasemwa vibaya ni ukweli mtupu huo unajifanya umeokoka hpohpo mtoto anababa 12,unachukua ada,pesa ya matibabu,nauli ya kumpeleka nairobi mtoto halafu leo unasema mtoto si wangu,mimi ningefungua kesi ya madai unipe pesa yangu yote.
Mtoto hata umzike sudan sina muda wa kujua umemzika wapi
 
Back
Top Bottom