Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
Watapata tabu sanaa![emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Kibano cha kibaka yani unavunja meno mchungaji wa watu wke ili iwe fundisho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watapata tabu sanaa![emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Kibano cha kibaka yani unavunja meno mchungaji wa watu wke ili iwe fundisho
Mama dangote,hamisa na wcb wote kimyaaaa....!!![emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2][emoji23] [emoji23] [emoji23] kina zar hawaonekani tena wiki hii
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mama dangote,hamisa na wcb wote kimyaaaa....!!![emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Mungu wa Herode.Hilo kanisa lilimchukua Muna wanaabudu Mungu yupi jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mungu wa isaka ,ibrahimu na Yakobo[emoji4]Hilo kanisa lilimchukua Muna wanaabudu Mungu yupi jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] tuko airport tushatoka sasa tunaelekea mbezi baadae mwananyamala sidhani km kesho tutazika maana sio kwa hili vagiHa ha ha kweli aisee mama t kajitahidi kusnap Jo'burg mara Durban wapi. Si tuko zetu airport tunampokea muna
Kivipi?mbona mnaaamini sana ushirikinahuyu kweli kamtoa mwanaye kafara.
Walaaaaah yan mpaka msiba uisheHata wasimjua kafunika kick zotee mjini hapa!
Wapenda kick wanamlaani kweli maana hawaonekani tena
Kwani msiba ukifanyika kwa mama yake kuna tatizo gani??Wachaga huwa hawatupi damu zao ila kwahili jambo angemuachia mwanae,huyo mama analake jambo ila kajivua nguo n kuonyesha tabia zke vizuri,mwanamke mfupi huwa ni tabu kuishi nao
Unaona ee upuuz mtupuMichango michango michango...nimeona Leo shemeji wa Muna anatoa namba almost tatu hivi za kuchangia nikasema loooh![emoji5] [emoji2] [emoji3] [emoji3] [emoji4] yamekua haya tena
Msiba umekua kitega uchumi!
Uchungu kwa maiti? Sema kwanini alete utoto kwenye ishu serious kma hiidaah kwann walete drama kweny ishu serious?? nd tatz la bongo muvi uyo mama anakua kama hana uchungu na mwanae
Sepenga,zari,mobeto wote saa hii wako[emoji23] [emoji23] [emoji23] kina zar hawaonekani tena wiki hii
Afanye msiba kwa maana mtoto ni wke hatukatai,ila kma mangii sio baba yke kwanini alikua anachukua pesa za matibabu,si angechukua kwa marioo wke castoKwani msiba ukifanyika kwa mama yake kuna tatizo gani??
Unaskiaga kutesa kwa zam Sasa ndyo hukuMama dangote,hamisa na wcb wote kimyaaaa....!!![emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Yani tupo busy Hatari tunashindwa kubadili vijora vyetu[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] tuko airport tushatoka sasa tunaelekea mbezi baadae mwananyamala sidhani km kesho tutazika maana sio kwa hili vagi
Michango tuu hakuna loloteUnaona ee upuuz mtupu
+ yuda!Mungu wa isaka ,ibrahimu na Yakobo[emoji4]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Sepenga,zari,mobeto wote saa hii wako
Hoi wanawaza tu jinamiz gan lmepta mbele yao