Simara
JF-Expert Member
- Oct 1, 2014
- 7,512
- 23,925
JamaniiiWacha tukazane tu hamna namna.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
JamaniiiWacha tukazane tu hamna namna.
Shangaa halafu linatoka senge moja linasema eti muna aachiwe mtoto ....kama aliamua kukomaa angelea peke yake na kuuguza mpk kusomesha ....sio hela za matibabu atoe pita ye alete upuuzi ....limeomba nauli ya ndege limepanda bus janamke fala lile mweh ....Singo maza na maslay queen wasiojielewa naona wana hasira na Peter, bwana peter ana haki ya kudai kumzika mwanae,kamlea tokea anazaliwa hadi hapo alipo.
[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]serious serikali iingilie bila kushirikishwa...jamani kaah!Kwa nini Serikali ya Dar es Salaam na uongozi wote usiingilie kwa kumuweka ndani Huyo Malaya au wanasubiria mpaka vifo vitokee ndiyo wasemee... Kafara yoyote inayotolewa kwa kuua lazima kuwe na Mtafuruku na Iwe gumzo Nchi nzima. Siri ya Kifo cha huyo Mtoto anakijua Mama yake Mungu hahusiki.. Ila kwa Nini Toka Juzi na matusi yote Hakuna Kiongozi wa serikali kuingia huu upuuzi .. Inakuwaje Mwanamke mmoja anasababisha watu kuwa macho na kushinda kwenye mitandao ya Jamii kufautilia Ujinga.. Nyie Wacha siku hizi baada ya kukosa Nguvu za kiume mumekuwa legelege kiasi Hicho...
Garama zote zlikua znatolewa na nan
Kuanzia shule,matumiz,mpaka anaumwa
Na bili ya hospital??
Majukumu yote atoe baba mtoto alaf
Leo ufokefoke kuwa msiba upo kwako
Na ww ndo uatapanga pa,kumzka
Mtoto !!
Hayo maji mnayoyafulia chupi
Na kuyapkia chai walahi mtawanywesha
Wajinga wajinga tu
Naona haya mambo yakienda polisi
Shangaa halafu linatoka senge moja linasema eti muna aachiwe mtoto ....kama aliamua kukomaa angelea peke yake na kuuguza mpk kusomesha ....sio hela za matibabu atoe pita ye alete upuuzi ....limeomba nauli ya ndege limepanda bus janamke fala lile mweh ....
Sijui mwanamke Toleo gani msiiiiieeeew
Muna kanichosha nilivyo na mahasira ya haraka angekua ndugu yangu wangestukia namdunda!!
Utafikiri kachanganyikiwa vitu anavyofanya.
Majanga tupuInasikitisha sana wanamtesa sana mtoto
Nakazia!!!!Huu msiba tutaona mengi jamani wapumzishe tu mtoto hiki ndio cha muhimu
Ni sheitwaaani kaokoka upuuzi gani wakati haelewani na mamake .....kuna kitu kibaya duniani kama kukosana na mama mzazi aliyekuzaaa huku akiwa ana asilimia kumi tu za kubaki duniani ....muna ni mpuuziAkili pungufu pekee ndio watamtetea muna. Mwanamke ana ugomvi hadi na familia yake akiwemo mama ake aiseeee huyu binti kama alikua anataka kiki kwa msiba wa mwanae basi ameipata tena kubwa tu
Majanga tupu
Nakazia!!!!
[emoji2] [emoji2] I don't nini kinamfanya awehuke hvyo!!Muna kanichosha nilivyo na mahasira ya haraka angekua ndugu yangu wangestukia namdunda!!
Utafikiri kachanganyikiwa vitu anavyofanya.
Watu wanataka kumzika haraka huku hajapokea michango mkononi..
Kama vile bado anataka apatie pesa kwa mwanae na hao mario wake kabla hajazikwa.
Akili pungufu pekee ndio watamtetea muna. Mwanamke ana ugomvi hadi na familia yake akiwemo mama ake aiseeee huyu binti kama alikua anataka kiki kwa msiba wa mwanae basi ameipata tena kubwa tu
[emoji23] [emoji23]Huyu mama Sabrina unaeza kuta ndo muna mwenyew ...........mana yule bi Dada kafiwa ila comment za waja anasoma na kujibu pia.......
Muna muuaji
Ova
Mdada wa mjiniHuyu Mtu ni nani? Mbona huu msiba umeshika kasi sana kwenye social media? Ni mbongo movie au bongo flava?
Chakubanga nae alisema Jana muna hajakubali tukamuona mzushi.Leo kasema eti muna amepanga kumzika dogo usiku.nimeshangaa mwayaMama akee analia masikini ndio mana milly aliongea mwanzo tukamuona mbaya