Simara
JF-Expert Member
- Oct 1, 2014
- 7,512
- 23,925
Si kutaka kiki, kwanza tangu lini walokole wasioana wakaishi pamoja.Joel na muna wote wachawi.....haiwezekani mtoto anaumwa ye ampandishe jukwaani kumtolea ushuhuda si umbulula huo
Yaan Peter aende mahakamani akamyooshe!!
dada wa Taifa huko keshasema mwili ulitangulia kabla Muna hajafika.