Muna ametua Airport bila maiti ya mwanaye

Muna ametua Airport bila maiti ya mwanaye

huyu
Drama zinaendelea, taarifa kutoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere ni kwamba mwanadada Muna amewasili kutoka nchini Kenya lakini tofauti na matarajio ya waombolezaji waliokuwa wakisubiri mwili wa marehemu mwanaye, Patrick, Muna amekuja jinsi alivyo.

Taarifa za ndani zinaeleza kwamba kumbe mwili ulishawasili Bongo kimyakimya tangu jana usiku na mpaka sasa upo hospitali umehifadhiwa. Lengo lake ni kama alivyoeleza awali, kwamba anataka yeye ndiyo asimamie msiba wa mwanaye na amzike kama atakavyoamua mwenyewe.

======

TAHARUKI imezuka kwa ndugu, jamaa na marafiki waliofika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere Jijini Dar es Salaam baada ya mwili wa mtoto Patrick kudaiwa kuchukuliwa na watu wasiojulikana muda mfupi baada ya kuwasili uwanjani hapo leo.

Habari zaidi, soma=>Rose Nungu (Munalove), akubali kupeleka msiba nyumbani kwa baba wa Patrick
huyu mdada mumusamehe bure, ameondokewa na mzazi wake na siyo mtoto kama mnavyofikiri, hivyo kwa sasa hana wa kumuongoza! Tegemeeni lolote kutoka kwake! Mtoto Patrick (Mungu aipumzishe roho yake pema kwa mapenzi yake) ndie aliyekuwa akimuongoza huyu mama! Akimwambia mama fanya hv naye anafanya, sasa ndio hivyo tena! Mungu ampe wepesi ktk kipindi hiki! Kwa ndugu yetu Peter, pole sana kaka, tunayashiriki maumivu ya moyo wako, jipe moyo, na Mungu akufanyie wepezi uvuke salama!
 
Katika hili nikuite msengerema kwa kumtetea huyu malaya wa kishetani

Sweetheart nisamehe tu huyu kimburu kaniudhi kumtetea kahaba wa kishetani
Hebu niambie mama hana haki na mwanae,?kwanini mnagandamiza sana muna kosa gani kafanya mpaka mumuone peter yuko sahihi ,hiyo maiti au itafufuka jamani

Shoga angu jf leo wanichamba jamani
 
Drama zinaendelea, taarifa kutoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere ni kwamba mwanadada Muna amewasili kutoka nchini Kenya lakini tofauti na matarajio ya waombolezaji waliokuwa wakisubiri mwili wa marehemu mwanaye, Patrick, Muna amekuja jinsi alivyo.

Taarifa za ndani zinaeleza kwamba kumbe mwili ulishawasili Bongo kimyakimya tangu jana usiku na mpaka sasa upo hospitali umehifadhiwa. Lengo lake ni kama alivyoeleza awali, kwamba anataka yeye ndiyo asimamie msiba wa mwanaye na amzike kama atakavyoamua mwenyewe.

======

TAHARUKI imezuka kwa ndugu, jamaa na marafiki waliofika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere Jijini Dar es Salaam baada yamwili wa mtoto Patrick kudaiwa kuchukuliwa na watu wasiojulikana muda mfupi baada ya kuwasili uwanjani hapo leo.

Habari zaidi, soma=>Rose Nungu (Munalove), akubali kupeleka msiba nyumbani kwa baba wa Patrick
Ndgu me mbona mme niacha njiapnda nipen habar kina endelea ki2 gni kwann??
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] mjini kuna visa

Hata sijui nisimame upande upi naona kichina China tu hapa
Hahaaaaaaq,,,,masinemalee
 
Back
Top Bottom