Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]jf kuna wanaume wengine wambea,wanaafiki,magegedu kuliko wanawake...!!Kuna vidume pia..vinachonga sana kama wao ndo baba mtoto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]jf kuna wanaume wengine wambea,wanaafiki,magegedu kuliko wanawake...!!Kuna vidume pia..vinachonga sana kama wao ndo baba mtoto
Ngoja nitawatag huu uzi ukifika mwisho[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]jf kuna wanaume wengine wambea,wanaafiki,magegedu kuliko wanawake...!!
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] mwisho ni muna kuzika mtoto baaasiNgoja nitawatag huu uzi ukifika mwisho
Daudi unanipaga rahaaa mieeeeeeeAliwatuma mjazane hapo airport kumsubiri????
Tena demi waambie kuwa ni wapuuzi kabisa hivi wanajua kulea mtto hao ukute wagumba ,,wanajaji tu muna mbaya mbaya shenziii zao kabisa,na ole wake mtu anichambe ukinichamba nakunywa maji nalala [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanichambe tu kwa kweli mi sijali. Mi siwezi kujadili kitu nisichokielewa vzr kisa tu nimekisikia kwenye hizi teams za mtandaoni. Muna ana maisha yake na changamoto zake kifamilia ambazo wengi hatuzijui vzr lkn watu wanajudge tu hata muna mwenyewe hawamjui. Nonsense!
Kawakomeshaa balaaaHapana aisee. Kila mtu anampangia cha kufanya..acha tu awaumize vichwa..mmeenda airport holaaaa[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Kuna tabia ya kugandamiza mwanamke siipendi kabisa mwanamke nae ana maamuzi[emoji2] [emoji2] hii ndo jf always mwanamke ni mkosefu dear!
Muna kawanyoosha mtu...huko hawana hamu!yaani huyu Dada sikutegemea kwa kweli kaahhh!!
Ngoja tubaki kutukana tu!hatuna namna!
Namalizia wambea,wanafiki,wanapenda ubuyu kuliko hata sisi nakazia[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]jf kuna wanaume wengine wambea,wanaafiki,magegedu kuliko wanawake...!!
Kazi mnayo mbona? Na mtashangaa kesho hakuna leaders wala mwananyamala[emoji1] [emoji1] [emoji1][emoji2] [emoji2] hii ndo jf always mwanamke ni mkosefu dear!
Muna kawanyoosha mtu...huko hawana hamu!yaani huyu Dada sikutegemea kwa kweli kaahhh!!
Ngoja tubaki kutukana tu!hatuna namna!
Na miwani yake kama mchomea mageti ya viwandaHuyo ndio Muna kwa wale mnaosema hamumjuiView attachment 803748View attachment 803749
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3]Aliwatuma mjazane hapo airport kumsubiri????
Namalizia wambea,wanafiki,wanapenda ubuyu kuliko hata sisi nakazia
Kuna tabia ya kugandamiza mwanamke siipendi kabisa mwanamke nae ana maamuzi
anasema ana siri nzito kuhusu Peter atazitoa baada ya maziko. Je Peter hana uwezo wa kutungisha mimba? sasa ni siri gani hiyo inayongoja maziko!Anasema ameshalimaliza kuwa peter ndiyo atamzika mwanaye na LE MUTUZI atasimamia ununuzi wa jeneza!!
[emoji1] [emoji2] [emoji2] jamani ndo ninavyoona hvyo hvyo!!!looh!hatari ya MunguKazi mnayo mbona? Na mtashangaa kesho hakuna leaders wala mwananyamala[emoji1] [emoji1] [emoji1]
I mis u darling.Daudi unanipaga rahaaa mieeeeeee
Hapo unaisemea miwani ya marehemu sio?Na miwani yake kama mchomea mageti ya viwanda
Daaa!!hawa wanawake ni kuishi nao kwa akili sana!!ngoja tusubilie kwani najua baada ya mazishi picha ndio litaaanzaaa!!anasema ana siri nzito kuhusu Peter atazitoa baada ya maziko. Je Peter hana uwezo wa kutungisha mimba? sasa ni siri gani hiyo inayongoja maziko!
Hapana, ya Munna hizo picha ninaziona mbili hukuHapo unaisemea miwani ya marehemu sio?